AKIAMUA KUISHIA HAPA ATAJIJENGEA HESHIMA KULIKO ANAVYOTAMANI KUENDELEA.

AKIAMUA KUISHIA HAPA ATAJIJENGEA HESHIMA KULIKO ANAVYOTAMANI KUENDELEA.

Hakuna anayeweza kutoa ushauri huu kwa sababu ambao wangemshauri wanafaidika na mfumo, wamejizima data wala hawaoni Mambo yanaenda ndivyo siyo, hawaoni majirani zetu wanavyopata taabu kurudisha treni kwenye reli, yakiacha yafike kwa Nchi yetu kuuzima moto itatughalimu jasho na damu.
Hivi nini mnang'ang"ania kulidhika ni bora. Maisha yenyewe mafupi mnajikusanyia kama vile hamtakufa huku mkiwaacha wajane na mayatima wakilala njaa mnadhani Mungu hawaoni. ?
Hivi Samia angechukua fomu kugombea urais wa Zanzibar kabla ya Mwinyi angechaguliwa? Kama ni hapana, ni kwanini?
KIFUPI SAMIA URAIS ULIMDONDOKEA TU,SASA KWA NINI TUMPE TENA AIONGOZE TANGANYIKA YETU YEYE NA MCHENGELWA WAKE NA ABDUL WAKE?
Kwani ni lazima ahudumu vipindi viwili wakati hata hicho kipindi kimoja tu ilikuwa bahati mbaya
 
Keani jeshi si ndio lilimpa madaraka kwann wasimnyanganye hivi wao hawaoni vitu havipo sawa?Miaka mi 5 tena chini ya huyu mama hio ni adhabu
 
Huyo mwisho wake ni jela ...au kuuliwa au kukimbia nchi au vyote kwa pamoja ...nina uhakika kwa asilimia 100% siku hiyo hamta amini kuwa ndiyo yeye ...kwa kutumia akili yangu sioni njia mbele yake ni giza la damu
Kumbe!! Ndo mana anaogopa reforms
 
Kumbe!! Ndo mana anaogopa reforms
Samia ana ogopa siyo reform tu hata kuachia madaraka anaogopa na siku zizidivyo kwenda ndivyo hofu yake itazidi kuwa kubwa ..hii itasababisha mambo mabaya sana kwa taifa na damu na kama akifanikiwa kukaa miaka hii mitano ijayo lazima lazima atafanya chochote ili kubaki madarakani zaidi ya awamu mbili hivyo kutakuwa na vuguvugu kuanzia katikati ya 2025-2030 kutaka aendekee kukaa madarakani mpaka 2035 hoja watakazo tumia ni mbili .
1)watazusha hoja kuwa ile miaka 4 ilikuwa siyo yake sasa inatakiwa yake 10 hivyo akae madarakani mpaka 2035
2)hoja ya pili ni kujidai kuleta harakati za katiba na reform mwishoni kabisa mwa 2029 hivyo kutengeneza hoja kuwa aongezewe miaka kukamilisha reform na katiba na hiyo itakuwa zuga tu lengo litakuwa kujobakisha madarakani zaidi ya 2030 .
 
Samia ana ogopa siyo reform tu hata kuachia madaraka anaogopa na siku zizidivyo kwenda ndivyo hofu yake itazidi kuwa kubwa ..hii itasababisha mambo mabaya sana kwa taifa na damu na kama akifanikiwa kukaa miaka hii mitano ijayo lazima lazima atafanya chochote ili kubaki madarakani zaidi ya awamu mbili hivyo kutakuwa na vuguvugu kuanzia katikati ya 2025-2030 kutaka aendekee kukaa madarakani mpaka 2035 hoja watakazo tumia ni mbili .
1)watazusha hoja kuwa ile miaka 4 ilikuwa siyo yake sasa inatakiwa yake 10 hivyo akae madarakani mpaka 2035
2)hoja ya pili ni kujodao kuleta harakati za katiba na reform mwishoni kabisa mwa 2029 hivyo kutengeneza hoja kuwa aongezewe miaka kukamilisha reform na katiba na hiyo itakuwa zuga tu lengo litakuwa kujobakisha madarakani zaidi ya 2030 .
Wacha tuone
 
Post ya ki "k" sana!
Leo unasema kuwa wenzetu wanapambana kurudisha sijui nini?
Nyoko nyoko..
Nyie si ndo mlikuwa mnapanua vijambio hapa kuwa majirani wana katiba nzuri, uongozi mzuri mara nyoko nyoko..
Mnasababisha hasira sana..na watanzania si wajinga..

HAYA ZWAZWA, TWAMBIE, AKIISHIA HAPO NANI AJE? acheni u "k" wa buguruni
 
Back
Top Bottom