Akiba ya Maneno: Al Hilal na Yanga inaenda kuisha kwa droo

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Wiki hizi mbili zimekuwa chungu sana kwa wana utopolo. Tumewananga kwa vikokotoo na hesabu za vijiti. Leo nitakuwa na akiba ya maneno.

Mechi ya Al Hilal vs Yanga inaenda kuisha kwa sare.

Kuhusu mechi ya mwisho na MC Algier, hilo ngoja niliweke kama akiba hadi siku husika.

Hongereni wana utopolo kwa kuongeza siku zenu za kuishi. Kazi kubwa imefanyika nyuma ya pazia.

princess ariana
Atoto
 
Kasema nani,tunapindua meza kwa mwarabu mweusi
 
Hilo mbona linajulikana ibenge kashasema atawapangia kikosi b eti hataki kuwachosha key players wake, msomali kashafanya yake safari hii yanga wameamua kutafuta ushindi kwenye kila mechi kwa namna yoyote ile mradi tu wasiaibike, wakikumbuka zile mbwembwe za kutambulisha kikosi kipana na kuwauliza watu "we hauogopi" halafu cafcl waje kuishia makundi na nbcpl wakose ubingwa unadhani wataambia nini watu
 
Wiki hizi mbili zimekuwa chungu sana kwa wana utopolo. Tumewananga kwa vikokotoo na hesabu za vijiti. Leo nitakuwa na akiba ya maneno.

Mechi ya Al Hilal vs Yanga inaenda kuisha kwa sare.

Kuhusu mechi ya mwisho na MC Algier, hilo ngoja niliweke kama akiba hadi siku husika.

Hongereni wana utopolo kwa kuongeza siku zenu za kuishi. Kazi kubwa imefanyika nyuma ya pazia.

princess ariana
Atoto
Mmeshaanza kujiandaa na lugha zenu za anadhamini timu nyingi.

Na kinachokufanya uweke akiba ya maneno ni UBORA WA YANGA na slogan yetu ya TRA. Kimoyomoyo unaikubali Yanga
 
Wiki hizi mbili zimekuwa chungu sana kwa wana utopolo. Tumewananga kwa vikokotoo na hesabu za vijiti.
Yan nyie na vimaneno vyenu ndio mnahisi kututikisa mpaka wiki kuwa chungu kama unavyojinadi hapa? Hivi kuna machungu kama kipindi kile mmetupiga tano? Kuna machungu kama kipindi tunatembeza kapu la kuchangia timu?

Acha kujipa umaarufu mdogo wangu.
 
Hyo mechi mipango ishafanyika na yanga anashinda 2-1.. au 3-1 inatagemea na bahasha aliyopewa ibenge
Mipango kufanyika ya kuipa ushindi Yanga leo lazima wamuhusishe Moise Katumbi na TP Mazembe yake (labda kama ni ushindi wa goli 1) kumuhakikishia ushindi Al Hilal mechi ya mwisho. Naona Al Hilal wameona sare ni msaada unaotosha kwa sasa ili mambo yasiwe mengi. Yanga ikajipambanie mechi ya mwisho kuzitafuta hizo goli 3.

Kupanga matokeo hadi ya magoli ni kitu kigumu sana labda wacheze kama zile timu za NBC zinavyochezaga na timu fulani.
 
Hilo mbona linajulikana ibenge kashasema atawapangia kikosi b eti hataki kuwachosha key players wake, msomali kashafanya yake safari hii yanga wameamua kutafuta ushindi kwenye kila mechi kwa namna yoyote ile mradi tu wasiaibike, wakikumbuka zile mbwembwe za kutambulisha kikosi kipana na kuwauliza watu "we hauogopi" halafu cafcl waje kuishia makundi na nbcpl wakose ubingwa unadhani wataambia nini watu
Hayo tunayaacha kwa wanasiihasa wa kwetu
 
Mipango kufanyika ya kuipa ushindi Yanga leo lazima wamuhusishe Moise Katumbi na TP Mazembe yake (labda kama ni ushindi wa goli 1) kumuhakikishia ushindi Al Hilal mechi ya mwisho. Naona Al Hilal wameona sare ni msaada unaotosha kwa sasa ili mambo yasiwe mengi. Yanga ikajipambanie mechi ya mwisho kuzitafuta hizo goli 3.

Kupanga matokeo hadi ya magoli ni kitu kigumu sana labda wacheze kama zile timu za NBC zinavyochezaga na timu fulani.
Kwann wamuhusishe katumbi? Yeye yanga anahitaji ushindi Kwa hali yeyote na mipango ishafanyika..

Hakuna draw leo
 
Mi naona Yanga atashinda
IMG-20241207-WA0005.jpg
 
Wiki hizi mbili zimekuwa chungu sana kwa wana utopolo. Tumewananga kwa vikokotoo na hesabu za vijiti. Leo nitakuwa na akiba ya maneno.

Mechi ya Al Hilal vs Yanga inaenda kuisha kwa sare.

Kuhusu mechi ya mwisho na MC Algier, hilo ngoja niliweke kama akiba hadi siku husika.

Hongereni wana utopolo kwa kuongeza siku zenu za kuishi. Kazi kubwa imefanyika nyuma ya pazia.

princess ariana
Atoto
Bravo kasha fanta yake muda huu na Bado Hadi tuheshimiane.
 
Back
Top Bottom