Akiba ya Maneno: Al Hilal na Yanga inaenda kuisha kwa droo

Wiki hizi mbili zimekuwa chungu sana kwa wana utopolo. Tumewananga kwa vikokotoo na hesabu za vijiti. Leo nitakuwa na akiba ya maneno.

Mechi ya Al Hilal vs Yanga inaenda kuisha kwa sare.

Kuhusu mechi ya mwisho na MC Algier, hilo ngoja niliweke kama akiba hadi siku husika.

Hongereni wana utopolo kwa kuongeza siku zenu za kuishi. Kazi kubwa imefanyika nyuma ya pazia.

princess ariana
Atoto
Nyie angalieni ya kwenu mambo ya wenzenu ayawahusu,,yanga hii sio ya kusubilia utabiri wako uchwara!
 
Mipango kufanyika ya kuipa ushindi Yanga leo lazima wamuhusishe Moise Katumbi na TP Mazembe yake (labda kama ni ushindi wa goli 1) kumuhakikishia ushindi Al Hilal mechi ya mwisho. Naona Al Hilal wameona sare ni msaada unaotosha kwa sasa ili mambo yasiwe mengi. Yanga ikajipambanie mechi ya mwisho kuzitafuta hizo goli 3.

Kupanga matokeo hadi ya magoli ni kitu kigumu sana labda wacheze kama zile timu za NBC zinavyochezaga na timu fulani.
Hata goli moja linatosha, kikubwa point tatu..!! Unatesekea wapi?
 
Wiki hizi mbili zimekuwa chungu sana kwa wana utopolo. Tumewananga kwa vikokotoo na hesabu za vijiti. Leo nitakuwa na akiba ya maneno.

Mechi ya Al Hilal vs Yanga inaenda kuisha kwa sare.

Kuhusu mechi ya mwisho na MC Algier, hilo ngoja niliweke kama akiba hadi siku husika.

Hongereni wana utopolo kwa kuongeza siku zenu za kuishi. Kazi kubwa imefanyika nyuma ya pazia.

princess ariana
Atoto
Akiba ya maneno imekuponya.
 
Ikawaje sasa.

Ungekuwa na akili timamu, ungejisikia vibaya sana unapo uangalia huu uzi wako.
 
Nilishawaambia msiwe na vihere here kuweka tabiri zenu uchwara hapa kwenye mechi za yanga,,yanga Hawa watakuwa wanawaaibisha Kila siku na kuonekana amnazo
 
Back
Top Bottom