Akiduu always anaumia.

Akiduu always anaumia.

539694_10200720973320063_447406740_n.jpg

KWako Heaven on earth
 
Last edited by a moderator:
either dushelele lako kubwa or atakuwa na matatizo ya tumbo akamwone daktari!
Hapo kwenye red ungesema kubwa kupita kiasi maana ingekuwa vidogo(vibamia) mgegedwaji angekuja kulalamika humu
 
PID is the commonest daktari

I would consider endometriosis first kwa sababu amesema huo ugonjwa anao kila siku. Ingekuwa PID basi angekuwa yuko fine halafu ugonjwa umeanza on a certain date ambayo angekuwa anaikumbuka. Halafu PID inasababisha pelvic pain ambayo sio lazima ihusiane na coitus.

So YES PID is in the differentials but I would take endometriosis as a working diagnosis and PID in differential.

By the way, early stages of endometriosis have inflamatory character so endoemtriosis is a form of PID as well.
 
pole sana kwa ajili yake kwa kukosa uhondo wa ngoma..inawezekana unapapara kwenye gem, ama anamatatzo ya kiafya kama walvyoshaur wengne..cha kufanya jarbu kumuandaa vyema kabla, kama ujuavyo ushnd unategemea maandalizi, hvo jiandae vyema kabla na muandae yeye kiakili na kimwili. Ukiona hupat majibu, muone daktar
 
mmh jamni haya mafuta ya zaituni ndo yanapatikana wapi? coz sijawahi kuyasikia

mafuta ya zaituni nenda supermarket au maduka makubwa uliza olive oil imeandika R.S tena kama unataka best chukua yalioandikwa extra virgin olive oil yanauzwa kati ya 15000 - 17000 kwa lita moja
 
haya si walisema yanamadhara kwa matumizi ya mwanadamu mkuu?
Bado haijathibitika kama kweli yanamadhara,,,tunashauriwa kutumia kidogo na sio mengi,,hata panadol ukizizidisha lazima zikuletee madhara,,,
 
Yanapatikana supermarket karibu zote, ukifika uliza olive oil. Haya mafuta ni aghali sana na muda wote mimi najua ni kwa ajili ya kupikia vyakula pia huweza kuliwa bila kupikwa katika salads/kachumbari. Pamoja na kukaa Italy na kufanya kazi katika hotel kadhaa bado sikuwahi kusikia kama yanaweza kutumika kama mafuta ya kupaka mpaka niliposoma hapa jf.

yaani sijui hata kama yanapatikana....,mi mwenyewe sijayasikia mda sana

btn ni kama nimekumiss vile
 
Muandae vizuri kabla. Mnyonye matiti muda mrefu, mnyonye pia ki.ne.mb.e muda mrefu, tumia kama nusu saa kufanya mchezo huu atalainika tu, ila kama yote huwa unafanya na bado tatizo lipo palepale ni bora kumuona daktari. Wakati mwingine kama unakuwa umelewa au unanuka masigara wanawake wengine huwa wanapoteza apetite.

Wadau naomba mniambie hili tatizo la mwanamke kuumia wakati wa kuduu linasababishwa na nini.Yeye haoni raha hata siku moja.
 
Wadau naomba mniambie hili tatizo la mwanamke kuumia wakati wa kuduu linasababishwa na nini.Yeye haoni raha hata siku moja.

Mwambie aache kudo kwani ni lazima adu?
 
Bado haijathibitika kama kweli yanamadhara,,,tunashauriwa kutumia kidogo na sio mengi,,hata panadol ukizizidisha lazima zikuletee madhara,,,


basi nashauri kupunguza matumizi yake kwa shughuli hiyo kwa wenye uhitaji wawe wanatumia "olive oil"
 
Back
Top Bottom