Nilufer
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 9,603
- 13,654
heee yanasaidia kurudisha usichana?mafuta ya zaituni nenda supermarket au maduka makubwa uliza olive oil imeandika R.S tena kama unataka best chukua yalioandikwa extra virgin olive oil yanauzwa kati ya 15000 - 17000 kwa lita moja