heee yanasaidia kurudisha usichana?mafuta ya zaituni nenda supermarket au maduka makubwa uliza olive oil imeandika R.S tena kama unataka best chukua yalioandikwa extra virgin olive oil yanauzwa kati ya 15000 - 17000 kwa lita moja
mmh jamni haya mafuta ya zaituni ndo yanapatikana wapi? coz sijawahi kuyasikia
MODs asanteni kwa kuileta hii mada huku.
Kuna ugonjwa ambao umesambaa sana unaitwa endometriosis.
Ugonjwa huu kwa Tanzania hausikiki sana kwa sababu mara nyingi mgonjwa akionyesha dalili za ugonjwa huu huwa madaktari wanadhani ana infection na kumpa anti biotics.
Sababu kubwa ya kutokusikika kwa ugonjwa huu Tanzania ni kutokuwepo na njia ya kuudiagnose. Ugonjwa huu huwa diagnosed kwa kuangalia ndani ya tumbo kwa camera - laparoscope. Njia hii kwa Tanzania bado haijazoeleka ndio maana wagonjwa huishia kupewa antibiotics.
Dalili za ugonjwa huu ni
1. maumivu wakati wa kufanya mapenzi
2. Maumivu wakati wa haja kubwa
3. Maumivu makali wakati wa hedhi
4. Kushindwa kushika mimba
5. Kushindwa kupata mtoto
Ugonjwa huu mara nyingi husababisha dalili nilizozitaja hapo juu, lakini unaweza kusababisha dalili hadimu kama kukohoa damu, kutoa majimaji kwenye kovu la operation na nyingine.
Matibabu yake ni aina mbili. Kwanza ni kutumia vidonge vya hormones vinaitwa visanne. Mgonjwa pia anaweza kutumia vidonge vingine vyenye gestagens au progesteron. Aina ya pili ya matibabu ambayo ndio njia kuu ya matibabu ni operation ya kuondoa sehemu iliyoathirika.
Swali alilouliza mleta mada na aina ya majibu aliyopewa imenipa hamu ya kuadinka thread juu ya hili. Pengine siku nikitulia nitaanzisha thread kuhusu endometriosis.
Summary:
1.Wagonjwa wengi wanaopewa antibiotics kwa ajili ya infection ya njia ya uzazi hawana infection bali wana endometriosis.
2. Endometriosis ni ugonjwa unaoweza kusababisha ugumba.
3. Endometriosis ni ugonjwa unaotibika kwa dawa na/au operation.
4. May be kuna siku nitaandika thread juu ya endometriosis.
heee yanasaidia kurudisha usichana?
asante kwa elimu. lakini hawa wanaume si huwa wanapendaga kavu?hapana mpendwa hayarudishi usichana ila yanafanya uke kua wet na ule ukavu kavu unaondoka!!!!!!!!!!
Bibie.@mtoto wa maskini Sijuwi upo mji gani hapo kwetu Tanzania? lakini kama upo Jijini Dares-Slaam nenda katika maduka ya Super Market kaulizie hayo mafuta ya Zaituni kwa lugha ya kizungu yanaitwa (Olive Oil) angalia hiyo picha hapo chini utayapata. Hayo mafuta Zaituni (Olive Oil) yana faida nyingi sana tembelea hapa uone faida yakemmh jamni haya mafuta ya zaituni ndo yanapatikana wapi? coz sijawahi kuyasikia
Pia inawezekana haandaliwi vizuri wakati wa ku-do.
ahsante mkuu ntayatafuta for the sake of my papuchiBibie.@mtoto wa maskini Sijuwi upo mji gani hapo kwetu Tanzania? lakini kama upo Jijini Dares-Slaam nenda katika maduka ya Super Market kaulizie hayo mafuta ya Zaituni kwa lugha ya kizungu yanaitwa (Olive Oil) angalia hiyo picha hapo chini utayapata. Hayo mafuta Zaituni (Olive Oil) yana faida nyingi sana tembelea hapa uone faida yake
Mafuta ya Zaituni Olive Oil.
chanzo. https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/482576-faida-ya-matumizi-ya-mafuta-ya-zaituni-olive-oil.html
Bibie DEMBA Hayana Madhara hayo Mafutaahsante mkuu ntayatafuta for the sake of my papuchi
Wewe Mkuu BAK ni Msanii nini? mbona unapenda kuweka musiki? hahahahahahahahahNakumbuka jamaa mmoja alikuwa akisema mie dudu limeshasimama sasa nimuandae nini tena!!!! Dudu ikishasimama hakuna kupoteza muda ni penetration tu!!!...Hili ni kosa kubwa sana. Wenzetu wanahitaji muda wa kuandaliwa kwa muda mrefu kidogo ukilinganisha na wanaume. Hili husaidia uke kufunguka na kutoa ute ambao hurahisisha zoezi la kupenetrate kwenye puchipuchi na pia kuongeza mdada kusikia utamu wa hali ya juu na pia kurahisisha zoezi la kufika kileleleni/kupaa kwa mdada.
sawa mkuu mrejesho utapata kama kawaida ndugu yanguBibie DEMBA Hayana Madhara hayo Mafuta
ya Zaituni hata huyo mpenzi wako anaweza kuweka kwenye dushelele lake akakuingilia kwenye papuchi yako mkaona wote wawili raha
tupu mimi huwa ninafanya hivyo kwa mke wangu. Papuchi yake iko dry sana ninailainisha kwa njia hiyo asante jaribu kisha uje hapa
unipe feedback.