habari wanajukwaa
kwa wajuzi nisaidieni
mpenzi wangu kila akifika kileleni basi ni balaa anajisikia kichefu chefu tumbo linauma ,anadai linakaza mno na pia anajisikia kuchoka kuliko kawaida,inafikia hatua tunahairisha kazi
hili tatizo sio siku moja,ysni ni kils siku tukikutana kimwili
naombeni wajuzi mnijuze,kama ni tatizo au sio na nifanye nini ili kuliepuka,maana nampenda sana mpenzi angu
Ataachaje kuchoka, unafanya mchezo na kilele eeeh

tofauti ya wafiraji na walawiti ni ipi??
Nisaidie ajuza
tatizo lake ni kwamba aliwahi kuckia negatively kile kinachokutoka mkisha duu yaani manii au tendo zima la kujamiiana hivyo kama unaweza kumuamisha hizo fikra zake yaani kumuadithia uzuri wa tukio husika,na jee ilianza lini hyo kitu ni toka mnaanza uhusiano wenu au limeibuka tuu katikati ya mahusiano yenu? na kwa kuongezea
Epuka kumuonyesha video za ngono kabla ya tendo
Epuka kufanya oral sex inaweza kuwa chanzo cha tatizo
Hili tatizo limeanza tokea tunaanza uhusiano wetu,na nlipomuuliza kuhusu siku za nyuma kabla yangu kadai alikua anajisikia ivo ivo.
Tushastop kufanya oral sex zaman sana lakin hali ni ile ile,