Akifika kileleni ni tatizo

Akifika kileleni ni tatizo

Oxpower

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2012
Posts
2,166
Reaction score
3,077
Habari wanajukwaa.

Kwa wajuzi nisaidieni.

Mpenzi wangu kila akifika kileleni basi ni balaa anajisikia kichefu chefu tumbo linauma ,anadai linakaza mno na pia anajisikia kuchoka kuliko kawaida ,inafikia hatua tunahairisha kazi.

Hili tatizo sio siku moja,yaani ni kila siku tukikutana kimwili.

Naombeni wajuzi mnijuze, kama ni tatizo au sio na nifanye nini ili kuliepuka, maana nampenda sana mpenzi wangu.
 
habari wanajukwaa

kwa wajuzi nisaidieni
mpenzi wangu kila akifika kileleni basi ni balaa anajisikia kichefu chefu tumbo linauma ,anadai linakaza mno na pia anajisikia kuchoka kuliko kawaida,inafikia hatua tunahairisha kazi

hili tatizo sio siku moja,ysni ni kils siku tukikutana kimwili

naombeni wajuzi mnijuze,kama ni tatizo au sio na nifanye nini ili kuliepuka,maana nampenda sana mpenzi angu

Kwan akichoka yeye ....mkuki auingii..??!!mm wangu yuko hivyo hivyo but nachomeka tu ...atujua mwenyewe
 
shida ipo kwenye kichefu chrfu na tumbo kumuuma
 
Muone daktari

yeye alijaribu kumuona daktari akiwa pekeake,akamwambia labda huwa hafiki kileleni kabisa,lakini yeye anadai huwa anafika.hapo mimu nmeshindwa kuelewa tatizo ni nini
 
habari wanajukwaa

kwa wajuzi nisaidieni
mpenzi wangu kila akifika kileleni basi ni balaa anajisikia kichefu chefu tumbo linauma ,anadai linakaza mno na pia anajisikia kuchoka kuliko kawaida,inafikia hatua tunahairisha kazi

hili tatizo sio siku moja,ysni ni kils siku tukikutana kimwili

naombeni wajuzi mnijuze,kama ni tatizo au sio na nifanye nini ili kuliepuka,maana nampenda sana mpenzi angu

Kwani kuna kazi pasi kuchoka? Hiyo pia ni kazi kama zingine.
 
habari wanajukwaa

kwa wajuzi nisaidieni
mpenzi wangu kila akifika kileleni basi ni balaa anajisikia kichefu chefu tumbo linauma ,anadai linakaza mno na pia anajisikia kuchoka kuliko kawaida,inafikia hatua tunahairisha kazi

hili tatizo sio siku moja,ysni ni kils siku tukikutana kimwili

naombeni wajuzi mnijuze,kama ni tatizo au sio na nifanye nini ili kuliepuka,maana nampenda sana mpenzi angu

Ndo maana kiliitwa kilele!
 
tatizo lake ni kwamba aliwahi kuckia negatively kile kinachokutoka mkisha duu yaani manii au tendo zima la kujamiiana hivyo kama unaweza kumuamisha hizo fikra zake yaani kumuadithia uzuri wa tukio husika,na jee ilianza lini hyo kitu ni toka mnaanza uhusiano wenu au limeibuka tuu katikati ya mahusiano yenu? na kwa kuongezea
Epuka kumuonyesha video za ngono kabla ya tendo
Epuka kufanya oral sex inaweza kuwa chanzo cha tatizo
 
[h=1]1 Wakorintho 6[/h]8 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,

Unamaanisha nini mkuu
 
tatizo lake ni kwamba aliwahi kuckia negatively kile kinachokutoka mkisha duu yaani manii au tendo zima la kujamiiana hivyo kama unaweza kumuamisha hizo fikra zake yaani kumuadithia uzuri wa tukio husika,na jee ilianza lini hyo kitu ni toka mnaanza uhusiano wenu au limeibuka tuu katikati ya mahusiano yenu? na kwa kuongezea
Epuka kumuonyesha video za ngono kabla ya tendo
Epuka kufanya oral sex inaweza kuwa chanzo cha tatizo

Hili tatizo limeanza tokea tunaanza uhusiano wetu,na nlipomuuliza kuhusu siku za nyuma kabla yangu kadai alikua anajisikia ivo ivo.
Tushastop kufanya oral sex zaman sana lakin hali ni ile ile,
 
basi ana allergic reaction jaribu kuwaona wataalamu wa masuala ya allergy wanaweza kuwapatia solution......pole xn mkuu ila nothing impossible
 
Uyo atakuwa under 18,full usanii....!
 
Back
Top Bottom