Akiisha kutumikia Shauri la Mungu alilala

Akiisha kutumikia Shauri la Mungu alilala

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
8,774
Reaction score
13,566
Ni Mungu
Zaburi 76:12
Yeye huzikata roho za wakuu;
Na kuwatisha wafalme wa dunia.
20230517_202239.jpg
Mungu humtumia mtu yeyote amtakaye Kufanya jambo lake, Hata Farao wa Misri alitumikia shauri la Mungu pia kwa wakati wake iwe kwa kujua au kutokujua.

Ewe Mtanzania na Mgeukie Mungu leo nae atayanyoosha mapito yako šŸ™
 
Back
Top Bottom