Akikamatwa Netanyahu na Putin naye akamatwe

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
21,470
Reaction score
40,593
ICC kusema Waziri Mkuu wa Israel akamatwe Kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu, naona kunashadadiwa Sana na baadhi ya watu.

Lakini makosa ya Netanyahu yanafanana Sana na makosa anayotuhumiwa nayo Rais wa Urusi Valdmir Putin.

Jee akikamatwa Netanyahu kufanyike pia harakati za kumkamata Putin!!??
 
Nani amkamate Netamyahu? Kwamba South Afrika, Hezibolar, Huthi, Iran ndo wamkamate Netanyahu kweli?
 
Putin ana tuhumiwa kuhamisha
watoto 2000 kwa razima kutoka
Ukraine na kuwapeleka Urusi ,yaani ni kama vile aliwaiba kutoka nchi yao mama,japo Urusi inadai wamepelekwa kule kwa ajili ya usalama.
Netanyau ana tuhumiwa kuuwa watoto zaidi ya 15,000 ,hayo ni mashitaka mawili tofauti japo yote kwa tafisiri ya kisheria ni uharifu.

Hata hivyo kwa muundo wa mahakama hii ni ngumu kuwafikisha mbele ya sheria watuhumiwa kwa sababu haina chombo maalumu cha kutekelezeka warrant ,badala yake ina wategemea nchi wanachama wake kutekeleza iwapo mtuhumiwa atakanyaga ndani ya nchi mwana chama.
Pamoja na hayo hupunguza uhuru hasa wa kusafiri kwa watuhumiwa kwa kuhofia kukamatwa.

Mfano Putin kwa sasa hawezi kwenda nchi zenye mwelekeo wa kimagharibi.

Netanyau kwa sasa hawezi thibutu kwenda nchi za America za kusini.
 
Hakuna wa kumkamata yeyote kati ya hao na wengine wengi, Putin,Netanyahu, Bush, Clinton, Blair, Xi, n.k Dunia ina class hii ni ukweli mchungu..unachopaswa kujua hiyo mahakama inaendeshwa na watu walioajiriwa,wenye familia, wanaosikia maumivu....ni hatari sana...
 
Nani amkamate Netamyahu? Kwamba South Afrika, Hezibolar, Huthi, Iran ndo wamkamate Netanyahu kweli?
Ngoja hati ya ukamataji itolewe ndiyo utajua Netanyahu atakavyokuwa anakwepa kutoka nje ya Israel maana hatamuamini yeyote.

ICC kitendo cha kutangaza tu inakusudia kumkamata Netanyahu tayari bwana Netanyahu kaingiwa kiwewe anazungumza vitu visivyoeleweka mara aseme amedhalilishwa mara ni aibu ambayo haijawahi kushuhudiwa katika historia ya Israel.
 
ICC kusema Waziri Mkuu wa Israel akamatwe Kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu, naona kunashadadiwa Sana na baadhi ya watu.

Lakini makosa ya Netanyahu yanafanana Sana na makosa anayotuhumiwa nayo Rais wa Urusi Valdmir Putin.

Jee akikamatwa Netanyahu kufanyike pia harakati za kumkamata Putin!!??
Mingeseeeeil e icj na wenzieè yaan put i-n wamemshindwaa watampata Netanyahu pambafuuuu
 
kuna kazi nyingine ngumu mno aise 🐒
 
ICC kusema Waziri Mkuu wa Israel akamatwe Kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu, naona kunashadadiwa Sana na baadhi ya watu.

Lakini makosa ya Netanyahu yanafanana Sana na makosa anayotuhumiwa nayo Rais wa Urusi Valdmir Putin.

Jee akikamatwa Netanyahu kufanyike pia harakati za kumkamata Putin!!??
Observation nzuri.
 
hio mahakama ya ujanjaujanja ni kwaajili ya kuwashikisha adabu vibaraka wa afrika na latin america ila sio hao mabeberu ndio maana wala hawaiogopi kiufupi ICJ ni sawa kamati ya maadili ya sisiem vs bashite enzi za chuma
 
Mingeseeeeil e icj na wenzieè yaan put i-n wamemshindwaa watampata Netanyahu pambafuuuu
Unamlinganisha Putin na huyo takataka la Kizayuni hajulikani anauwa wapaletina kwa sababu zipi mabwana zake wa ulaya NWO au hataki Taifa Takatifu la kipalestina lizaliwe!? Netapaka ni Jambazi tu..
 
ICC kusema Waziri Mkuu wa Israel akamatwe Kwa makosa ya uhalifu dhidi ya binadamu, naona kunashadadiwa Sana na baadhi ya watu.

Lakini makosa ya Netanyahu yanafanana Sana na makosa anayotuhumiwa nayo Rais wa Urusi Valdmir Putin.

Jee akikamatwa Netanyahu kufanyike pia harakati za kumkamata Putin!!??
Mkuu umetumia akili kweli na kutafakari kiasi unafananisha uhalifu wa Putin na Netanyahu!?
Jiulize kwanini Putin ni viongozi wa EU tu na NATO ndio waliomkalia kooni?
Pia jiulize mbona kwa Israel karibia DUNIA NZIMA ILIMKABA KOO ISRAEL!?
We hujaona utofauti hapo!?
Makosa ya Netanyahu ni EXCEPTIONAL.
Putin hana makosa anatetea taifa lake against NATO espionage/conspiracy through Ukraine.
 
Mingeseeeeil e icj na wenzieè yaan put i-n wamemshindwaa watampata Netanyahu pambafuuuu
Hakuna chuma cha pua duniani kama Putin.
NATO/EU wamemshindwa sembuse ICJ?
Kama Netanyahu hatokamatwa ni kwasababu ya USA/UK.
Ila Netanyahu hana ubavu wa kujitetea pasi na kutumia ubavu wa kiushawishi wa USA na UK.
 
Back
Top Bottom