Netanyahu ni WAR MONGER ambae kaiingiza Israel matatizoni kwa kufadhili settlers expansions mnamo August kupitia walowezi wa kizayuni/kiyahudi.Makosa ya Netanyau na Putin hayafanani,Netanyau analipiza kisasi kutokana na nchi yake kuvamiwa na kuawa na kutekwa kwa raia wa nchi yake tofauti na Putin ambaye kaivamia nchi ambayo haikutenda kosa dhidi ya nchi yake,kama kungekuwa na haki Putin ndiye aliyekuwa wa kukamatwa.
Hivi unajua kama chama cha Netanyahu August kilitoa pesa,bunduki na magari kwa walowezi wa kizayuni na wakavamia Jenin na kuvunja nyumba na kupiga mabedui ili ukuta wa mpaka uongezwe!!???
Au hili wewe haulijui??
Nani kachochea vita sasa hapo!?
Hivi una habari kila mwaka sio chini ya watoto 200 wenye umri chini ya miaka 12 hukamatwa pasi na sababu na kufungwa jela za IDF!?
Inamaana Israel inaua kizazi cha ujana cha Palestina,watoto wanakaa jela wapo waliowekwa toka 2007 ndio wametolewa mwaka huu KWA PRISONAL SWAP.
Mtu kakua hakupata haki ya elimu future yake imeharibika.
Ulitaka Palestina wakae kimya!!??
NETANYAHU NI GAIDI AMBAE ALIFAA KUHUKUMIWA MUDA SANA.
Putin ni kiongozi anayelinda maslahi ya taifa lake kwa kuzuia vitisho vya NATO kupitia majirani zake.
Nadhani labda hujui kuwa hao hao USA waliitumia Georgia dhidi ya Russia 2008.