Netanyahu hajafanya makosa yoyote ni kama Idd Amin alivamia Tz kagera akachinja watz tukamfuata Uganda, Netanyahu asisikilize wajinga waliohongwa na waarabu wenye chuki ya kibaguzi dhidi ya wayahudi, eti hawafai kuwepo duniani wakati taifa lao lilikuwepo miaka 3,000 iliyopita. Israel ina haki ya kujilinda utaifa wake na raia wakena kujibu mapigo, kwa video ya leo, Israel isipangiwe namna ya kuwaadhibu magaidi, damu ya raia wa Palestina itakuwa juu ya magaidi wa Hamas wanaojificha miongoni mwa raia,