Akikuonya uachane na mkewe, acha usilazimishe yasikukute kama haya

Akikuonya uachane na mkewe, acha usilazimishe yasikukute kama haya

Wewe unasema kwa namna unavyompenda na kumuamini 100%,sasa mtu unajua anatoka na fulani huo uaminifu unabaki pale pale 100% ? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Huyo mwanaume ni mpuuzi sana.yani mtu anachepuka wewe bado unamuamini tena kwa 100% ile ile tuu?

Hivi mwanamke analazimishwa kuchepuka au ana fanya kwa hiari yake mwenyewe tu na kukuona wewe huna maana?
Sasa huwez jua jamaa ka sacrifice kwa kiasi gani,ndio maana nasema oa mke unaempenda haswa af atokee mtu anakutombea kisenge! Wewe hujui uchungu wa mapenzi. Oa kwanza ndio utajua kwanini watu wanafira
 
Sasa ww hapo kipi si cha kweli stori au kesi?
Walikuja kupima ajali ni trafiki, na kesi ni ajali wala sio mauaji na sheria zinafuatwa kulingana na tukio lilivyo.

Hiyo umesema wewe kwamba kaua kwa kukusudia ila sheria haimuoni kama ni muuaji kwa sababu waliogongwa walikuwa kwenye chombo cha moto.

Hivyo nimeandika nikiwa najua nilichoandika ndugu, sheria haipo kwa mawazo binafsi. Na hata dhamana alipewa na anasubiri kulipa faini mahakamani.

Afu nikwambie kitu kwenye masuala ya ndoa sheria ipo wazi kabisa yani hata kama angeua kwa mkono, kwa sababu kaua wote kesi huwa ni ndogo mana inachuliwa aliua bila kukusudia ila aliendeshwa na hasira, lakini akiua mmoja akaacha mmoja inachukuliwa aliua kwa kukusudia (endapo aliwakuta yani aliwafumania) ila akifanya kwa kuwakuta mtaani sheria inamtambua kama muuaji kama wauaji wengine.

Wewe ndo unataka kupindisha sheria kwa mawazo binafsi
Mambo siyo simple kama unavyofikiria mkuu
 
Sijui kwanini watu waliopo mikoani hua na hasira sana either wapenzi wao wakiwa wanaliwa mara nyingi jamaa hua wanaishia kukatisha maisha yao
 
ukiona mkeo anachepuka, na ukathibitisha.....aiseeee huyo sio mkeo tena......muulize anahitaji nauli kiasi gani na vyote anavyohitaji ndani ya nyumba abebe......mpaka anachekupa na ukajua,,,,keshakazwa balaaa na hakutaki tena huyo...ila inabaswa uwe na busara za hali ya juu......usijefanya mleta mada.......
 
Mkuu mimi nina mke na ninapenda.

Lakini eti niue kwa upuuzi kma huo hapana aisee.
Kuumia unaumia lakini siwezi kufikia hatua hiyo.

Au labda inategemea na mazingira ambayo mtu amekulia.kuna maeneo kwao kawaida kuchinjana na kuuwana kikatili bila ya uchawi.
Kuna maeneo kwao kunyonga ni kawaida sana.
Labda wewe umekulia maingira hayo.

Lakini kwa mimi ambae toka nazaliwa mpaka sasa najitegemea sijawahi kuona baba na mama yangu wakipigana na kugombana(labda huko chumbani) huo upuuzi najifunzia wapi?

Sasa huwez jua jamaa ka sacrifice kwa kiasi gani,ndio maana nasema oa mke unaempenda haswa af atokee mtu anakutombea kisenge! Wewe hujui uchungu wa mapenzi. Oa kwanza ndio utajua kwanini watu wanafira
 
Mkuu mtoa mada tukio limetokea wapi na wahusika ni waenyeji wa makabila gani?
Ni siku tatu sasa tumemaliza mazishi ya watu wawili; Mwanamke na Mwanaume na wote walikufa siku moja kwa tofauti ya masaa tu.

Maneno mengi yalisemwa ila kubwa na lililoteka hisia za wengi ni hili....

Mwanamke aliekufa ni mke wa mtu na mwanaume aliekufa alikuwa ni mseja yani kamtaliki mkewe hivyo akawa na mahusiano na mke wa mwenzake.

Mwenye mke alijua mahusiano yao, akamuonya mkewe ila mwanamke hakusikia.
Mwenye mke akaona ni vyema amfuate mume mwenzie na kumuonya ila mwanaume akampiga mwenye mke na kwa nguvu ya pesa akamweka kolokoloni.

Kesi ikakosa nguvu jamaa akatoka na kukuta bado mkewe analiwa kama kawaida.

Hakuwabugudhi akawaacha.

Mwenye mke nae alikuwa na marafikk wenye magari, jumatano,akaazima gari la best yake na alipewa.

Hakuna aliejua lengo ni nini.

Mkewe nae akaaga nyumbani, akapakiwa kwenye gari la mchepuko na kwenda lodge kisha mchepuko akaita dereva na kurudisha gari yeye akabaki na pikipiki aliokuja nayo dereva wake,wakapigana miti tani yao, jioni wakapakiana kwenye pikipiki na kuanza kurudi walipofika maeneo ya 4way(Dodoma),wakapata ajali ya kugongwa na gari vibaya sana yani mke na mchepuko wake.

Mchepuko alikufa palepale na mwanamke alifia njiani akipelekwa hospital ya mkoa(Genero).

Aliegonga ndie mwenye mke akiwa na gari la kuazima.

Sasa mjuavyo kesi ya kugonga na kuua ni kama hamna kesi hivi(madereva wanafahamu).

Tumezika huku mabaharia tukiwa tumepata funzo kubwa sana.

Usijifariji kwamba maziwa unayo geto, vidosho ni wengi anaegarimikia mke muache na mkewe
 
Mkuu ukishatumia gari na mauaji yakatokea barabarani hio inakua ni traffic case mzee..
Okay case closed sitaki kukubishia kwa kuwa uelewi nachoongea wala nachomaanisha unachukulia vitu simple sana ile mawazo ya vijiweni sio kuwaza critically
 
Usidhani vitu ni rahisi hivyo. Kwanza ajali itokee halafu aliyegonga ni mume wa aliyegongwa na mchepuko wake. Usidhani vyombo vya usalama ni wavivu wa kufikiria kama unavyowaza.
hii kesi yake ni kunyongwa hadi kufa wala haichukui mda maana dhamira ya kuua alikua nayo na kifaa pia
 
hii kesi yake ni kunyongwa hadi kufa wala haichukui mda maana dhamira ya kuua alikua nayo na kifaa pia
Mtoa mada anachukulia vitu simple sana yaani anadhani kwa kuwa ni ajali itachukuliwa lightly tu kuwa ni ajali wakati nia ya muuaji ilikuwa inaeleweka
 
Wanaume kama huyo jamaa nawaonaga wapumbavu sana yaani.
Mke anauma lakini haujazaliwa nae tumbo moja.

Hivi hawajiulizi kwa nini wale tuliozaliwa nao tumbo moja ni haramu kuwaoa?
Kwa sababu ukimuoa dada yako ama shangazi yako alafu ukahisi kuna mtu anakuchukulia,wivu unakuwa spidi kali sana.

Tunawaoa wasiokuwa wa damu moja kwa moja yaanintunawaoa wale ambao damu hazijaingiliana sana kuepusha wivu wa kipumbavu kama huu wa kuua,mtu umekutana nae tu ukubwani unamuoa alafu unajifanya una wivu sana mpaka una muua ina maana wakati wote alikuwa anaishi kwa ajili yako mpaka sasa uone hafai kuishi?

Akikusaliti na ulishamuonya sana basi jua hakutaki,unachotakiwa kumhukumu ni kumwbia aendee kwa anayemchepukia.huo ndo uamuzi wa kiume japo utaumia lakini maumivu yana karibisha amani mbeleni.

Jamaa mpuuzi sana yani ila sawa.

Jamaa bwege sana yani kajipatia dhambi ya bure kwa jambo la kijinga sana.

Wanaume wenzanguu eee
"dont make a parmanent decision over a temporary circumstance"

N:B. Mke anauma
Wewe utakuwa unawala sana wake za watu. Yatakufika tu. Achana nao
 
Hii stor itakuwa ya kutunga tu, yaan una mpnz uache gar wakuletee pikipiki guest, kwel??
Ukiachana na wizi hio haipo
 
Okay case closed sitaki kukubishia kwa kuwa uelewi nachoongea wala nachomaanisha unachukulia vitu simple sana ile mawazo ya vijiweni sio kuwaza critically
Sio tu mawazo ya vijiweni mimi pia ninayo kesi ya traffic, pia rejea kilichotokea kwa Chenge ile ilikua ni murder sema sababu ni barabarani ndo imekua traffic case..itakua unazungumzia mambo ya actus reus na mens rea...
 
Nimeoa mkuu lakini mke wangu akichepuka siwezi kufanya huo ujinga hata siku moja.

Mtu umeshamuacha tayari alafu unaendelea kumfaatilia mkuu?
Kama huyo mke alikuwa anabakwa sawa lakini kama anafanya kwa ridhaa yake naona jamaa alipanick sana
Kweli hata mimi mke wangu kama anang'ang'ania kuchepuka namtimua sababu sitaki stress za maisha...yaani unajua kabisa unat..mbewa..bado unapata muda na huy mshenzi??? huo muda huwa sina kabisa.....kama ni watoto tutajipanga kivingine ili wasipate madhara sana..ila siwezi kukaa na takataka kama hiyo ndani kwangu
 
Unavyotaja 4 ways unanikumbusha "bati jekundu", "kwa Swai", na "Revola"

Back
Top Bottom