Akili inaniambia yote yanatokea sababu hawana sera za kumuuza MAMA 2025. Za kuambiwa changanya na zako!

Kwani Hitler hakufanya maendeleo makubwa ila inabadili ukweli kuwa alichinja wayahudi?

Kwahiyo wakoloni mbona walileta maendeleo wakajenga hospitali, barabara, reli, shule etc ila bado tuliwafukuza.

Maendeleo ya kiuchumi na ukatili vinaweza kwenda pamoja tu. Tusifiche udhaifu kwenye uchapa kazi kama kagame.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…