zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Kwani Hitler hakufanya maendeleo makubwa ila inabadili ukweli kuwa alichinja wayahudi?Kupambana na marehemu inahitaji mtu kuwa punguani kidogo.
Uongowao wamaneno unaumbuliwa na matendo yake mema yaliyotukuka ambayo yana direct impact kwawatanzania wote.
SGR, Umeme, Flights, Magufu Bridge, flyovers NK,NK.
Hivyo vitu na vingine vingi ambavyo alivifanya vinaprove uwezo wa haliya juu wa rais alie kuwa anafikiri kizalendo.
Matendo yanaongea kuliko maneno!.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Kwahiyo wakoloni mbona walileta maendeleo wakajenga hospitali, barabara, reli, shule etc ila bado tuliwafukuza.
Maendeleo ya kiuchumi na ukatili vinaweza kwenda pamoja tu. Tusifiche udhaifu kwenye uchapa kazi kama kagame.