MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Katika Maraisi ambao walijichimbia makaburi from the get-go ni kipenzi chenu Magufuli. Msifieni mnavyotaka, mpambeni mnavyotaka, mkitaka mumfanyie na ibada kabisa. Lakini ukweli ni kwamba Raisi Magufuli was a Brutal Assassin of the working class, a fanatic, a divisive figure and a threat to national unity and security.
Pili, kutaka kufananisha kilichotokea nchini Libya na Tanzania nadhani bwana Extrovert ni kutofahamu kwa undani zaidi siasa za Maghreb na nchi za Kiislamu. Hivyo kabla ya kuanza kutoa majibu ya jumla nakushauri ufanye tafiti kwanza. Kuna sababu nyingi zilizopelekea kuanguka kwa Muhammar Qhaddafy ambazo hujazigusa kabisa. Lakini pia kuna sababu nyingi zilizopelekea utawala wa Magufuli kuzimika kama taa.
Mimi ni mtu muwazi sana na napenda kusema ukweli: Kuna mambo mazuri ambayo Raisi Magufuli aliyafanya na yameleta mbadiliko makubwa sana nchini. Lakini laiti ungefahamu kwa undani madhara na uharibifu alioufanya kwenye mifumo ya ndani ya hii nchi, usingemuangalia kama unavyotaka dunia imuangalie. Amefanya mambo ya ajabu, hovyo na aibu sana kama Raisi. Mambo ya kishenzi ambayo tulikuwa tunasikia yakifanyika kwenye nchi kama Rwanda, Burundi, Sierra-Leone na Somalia....
Mimi ni moja kati ya watanzania niliouunga mkono utawala wake mwanzoni kabisa, lakini laaah "HAPANA" kutoa roho za watu wasio na hatia bila huruma. Kuvuruga maisha ya maelfu ya watu kwa kisingizio kwamba unaonyoosha nchi na kujenga uchumi ni HOJA MUFULISI ambayo watu wachache ambao hawamwogopi MUNGU na SHULE ZAO ZINA WALAKINI ndiyo wataikubali.
Ila ukweli ni kwamba chuki kubwa kutoka kwa wananchi aliipanda mwenyewe kama Raisi.........