Wananchi wanapata shida ya maji, madawa, umeme wao wako busy kuagiza Ndege mpya ili hali zilizopo hazitumiki ipasavyo!!!Siku hizi kila kitu hovyo umeme unakatika hovyo, maji hovyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wananchi wanapata shida ya maji, madawa, umeme wao wako busy kuagiza Ndege mpya ili hali zilizopo hazitumiki ipasavyo!!!Siku hizi kila kitu hovyo umeme unakatika hovyo, maji hovyo
Hao ndio wanafiki tunaowazungumzia humu kila sikuMtu aliuliza swali na Extrovert akamwambie atoe dp ya JPM. Leo uzi ulioanzishwa unaenda kinyume na comment ya siku ile.
Ni vizuri mtu anapogundua alipokosea na kujirekebisha along the way. Kudos
Shukrani kwa kuja kwenye uzi huu.Katika Maraisi ambao walijichimbia makaburi from the get-go ni kipenzi chenu Magufuli. Msifieni mnavyotaka, mpambeni mnavyotaka, mkitaka mumfanyie na ibada kabisa. Lakini ukweli ni kwamba Raisi Magufuli was a Brutal Assassin of the working class, a fanatic, a divisive figure and a threat to national unity and security.
Pili, kutaka kufananisha kilichotokea nchini Libya na Tanzania nadhani bwana Extrovert ni kutofahamu kwa undani zaidi siasa za Maghreb na nchi za Kiislamu. Hivyo kabla ya kuanza kutoa majibu ya jumla nakushauri ufanye tafiti kwanza. Kuna sababu nyingi zilizopelekea kuanguka kwa Muhammar Qhaddafy ambazo hujazigusa kabisa. Lakini pia kuna sababu nyingi zilizopelekea utawala wa Magufuli kuzimika kama taa.
Mimi ni mtu muwazi sana na napenda kusema ukweli: Kuna mambo mazuri ambayo Raisi Magufuli aliyafanya na yameleta mbadiliko makubwa sana nchini. Lakini laiti ungefahamu kwa undani madhara na uharibifu alioufanya kwenye mifumo ya ndani ya hii nchi, usingemuangalia kama unavyotaka dunia imuangalie. Amefanya mambo ya ajabu, hovyo na aibu sana kama Raisi. Mambo ya kishenzi ambayo tulikuwa tunasikia yakifanyika kwenye nchi kama Rwanda, Burundi, Sierra-Leone na Somalia....
Mimi ni moja kati ya watanzania niliouunga mkono utawala wake mwanzoni kabisa, lakini laaah "HAPANA" kutoa roho za watu wasio na hatia bila huruma. Kuvuruga maisha ya maelfu ya watu kwa kisingizio kwamba unaonyoosha nchi na kujenga uchumi ni HOJA MUFULISI ambayo watu wachache ambao hawamwogopi MUNGU na SHULE ZAO ZINA WALAKINI ndiyo wataikubali.
Ila ukweli ni kwamba chuki kubwa kutoka kwa wananchi aliipanda mwenyewe kama Raisi.........
Huyu nae akae kimya tuu,huo umeme anaousemea ndio huu wa mgao au ?
Nani aliteswa mbona mnapenda sana kamsemo hichoAkili hiyohiyo ndiyo iliyotumika kumsifu na kutesa waliomkosoa.
Gang mwacheni Mama arekebishe nchi,Kimsingi kwa yeyote mwenye akili anachokifanya Mama sasa hivi ndiyo kinachotakiwa kufanyika kasoro kwa Mbowe,ila wenye upeo mpana na wanaoona mbali kisiasa wanajua kwanini anafanya hivyo kwa Mbowe wewe kwa upeo wako huwezi kuelewa.
Hivi wazungumzia kanisa gani hilo?Baba mbabaishaji hata akiwa Paroko wa kanisa ni bure tu!
Raisi Magufuli was a Traitor and a Ruthless Assassin....Shukrani kwa kuja kwenye uzi huu.
====
Maelezo uliyoyatoa yanahitaji back up ya ushahidi usiotiliwa shaka na unaomuhusisha moja kwa moja Rais Magufuli (R.I.P) na mambo yaliyokufanya uache kumuunga mkono.
Karibu.
.....a traitor....??Raisi Magufuli was a Traitor and a Ruthless Assassin....
Only a fool would dispute this, and I don't think you are foolish.
Raisi Magufuli na genge lake walikuwa ni wahaini............a traitor....??
alimsaliti nani? au ulitaka kusema a dictator?
Nani alitolewa roho bila hurum awe ni lile kundi la wenye vyeti feki ndo kila siku mna laaniKatika Maraisi ambao walijichimbia makaburi from the get-go ni kipenzi chenu Magufuli. Msifieni mnavyotaka, mpambeni mnavyotaka, mkitaka mumfanyie na ibada kabisa. Lakini ukweli ni kwamba Raisi Magufuli was a Brutal Assassin of the working class, a fanatic, a divisive figure and a threat to national unity and security.
Pili, kutaka kufananisha kilichotokea nchini Libya na Tanzania nadhani bwana Extrovert ni kutofahamu kwa undani zaidi siasa za Maghreb na nchi za Kiislamu. Hivyo kabla ya kuanza kutoa majibu ya jumla nakushauri ufanye tafiti kwanza. Kuna sababu nyingi zilizopelekea kuanguka kwa Muhammar Qhaddafy ambazo hujazigusa kabisa. Lakini pia kuna sababu nyingi zilizopelekea utawala wa Magufuli kuzimika kama taa.
Mimi ni mtu muwazi sana na napenda kusema ukweli: Kuna mambo mazuri ambayo Raisi Magufuli aliyafanya na yameleta mbadiliko makubwa sana nchini. Lakini laiti ungefahamu kwa undani madhara na uharibifu alioufanya kwenye mifumo ya ndani ya hii nchi, usingemuangalia kama unavyotaka dunia imuangalie. Amefanya mambo ya ajabu, hovyo na aibu sana kama Raisi. Mambo ya kishenzi ambayo tulikuwa tunasikia yakifanyika kwenye nchi kama Rwanda, Burundi, Sierra-Leone na Somalia....
Mimi ni moja kati ya watanzania niliouunga mkono utawala wake mwanzoni kabisa, lakini laaah "HAPANA" kutoa roho za watu wasio na hatia bila huruma. Kuvuruga maisha ya maelfu ya watu kwa kisingizio kwamba unaonyoosha nchi na kujenga uchumi ni HOJA MUFULISI ambayo watu wachache ambao hawamwogopi MUNGU na SHULE ZAO ZINA WALAKINI ndiyo wataikubali.
Ila ukweli ni kwamba chuki kubwa kutoka kwa wananchi aliipanda mwenyewe kama Raisi.........
[emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji1430][emoji1430]Raisi Magufuli na genge lake walikuwa ni wahaini.......
Do pm kama anaigiza vile
Wacha tuoneEnzi za Jiwe watu wakisema Maisha magumu mlikua mnajibu kwa jeuri eti andamaneni,na Mimi nasema Maisha Ni mepesi Sana Kama mnbisha andamaneni tuone.
natumai kabla ya kuiweka hapa hii link umeisoma, niambie nje na elimu na huduma ya afya bure ni wapi tena muandishi kaelezea swala la Dola 100 kila anaetaka kuoa?Soma hapa chini
_ _ _
By Tatenda Gwaambuka.
April 9th, 2016
Add to my list
Libya under Gaddafi was not entirely hellish as the world has been made to believe. The citizens did not have the luxury of voting but Gaddafi made sure they had a high standard of living to compensate for curtailed freedoms. Was this enough? That is a moot point but the fact remains: Libya was a great place to stay under Gaddafi (provided one did not try to usurp power).
Education and medical treatment were free
Under Gaddafi, education and health care were free for all. A response to this claim by Masareef Edareeya, a Libyan citizen claimed the quality of education and health was appalling but that does nothing to the fact that it was free. No system is perfect but most are imperfect and still expensive. Gaddafi made sure his system was subsidised and even Mercy Corps attested to the fact in its Beyond Gaddafi: Libya’s Governance Context. That is more than the so-called “democratic leaders” can say for their countries.
=====![]()
Ten Reasons Libya Under Gaddafi Was a Great Place to Live | The African Exponent.
Was Gaddafi a dictator? Yes! However, he also had a heart for his country and the world conveniently skips that part every time.www.africanexponent.com
Mwandishi wa habari hiyo hapo juu ndugu Tatenda, aliandika habari hii mwaka 2016, wakati Comrade Gaddafi (R.I.P) tayari ameishaondoshwa madarakani na kuuawa. Wakati huo huo Libya ikiwa kwenye msongo wa purukushani za vurugu na mapigano. Kwa hiyo itakuwa ajabu wakati tayari, Comrade Gaddafi ameishaondoshwa na kuuawa bado awe na ujasiri wa kuwaamuru watu waandike habari unazosema eti zimetungwa na watu wake.
Litafakari hili mkuu.
Tumerudi awamu ya nne ya JK. Hapa bila CDF haifiki 2025Enzi za Jiwe watu wakisema Maisha magumu mlikua mnajibu kwa jeuri eti andamaneni,na Mimi nasema Maisha Ni mepesi Sana Kama mnbisha andamaneni tuone.
Tatizo letu kubwa sisi watanzania ni kwamba hatuna kabisa HOFU YA MUNGU siku hizi na wala hatupendi kusema UKWELI. Lakini kubwa zaidi ni kwamba uelewa wetu uko chini BELOW- AVARAGE, ndiyo maana kuna baadhi ya mambo unaweza ukahisi unatetea kwa uzalendo kumbe unafanya hivyo kwasababu uelewa wako ni mdogo.Nani alitolewa roho bila hurum awe ni lile kundi la wenye vyeti feki ndo kila siku mna laani
Hata ice cream inawakera wanyea gongoKwahio sheria ikigusa familia ya RPC itumike busara sababu ni sehemu ya wana usalama wa nchi ila ikiwa familia ya kapuku mtaa wa sita ifuate mkondo wake sio?
Hatuwezi fika kwa akili kama hizi na ndio zimepelekea kumea kwa mbegu ya unafiki sana hapa nchini halafu tunajifanya kushangaa kwamba tumekosea wapi kama taifa. Walafi wanalindana sababu hii!
Aliumiza ila wengine walistahili kuumizwa ili maendeleo yapatikane. Huwezi kufurahisha kila mtu wewe sio ice cream!
Hio ni namna ya kukufanya uelewe kwa wepesi don’t feel offended!Hivi wazungumzia kanisa gani hilo?
Kutokana na hili, umakini na hasa hoja zako vinatia shaka.