Akili inayotumika kumponda Hayati Dkt. Magufuli ndio ile ile iliyowagharimu wana Libya

Sasa unaniponda kwa kitu ambacho kiko dhahiri mzee, jamaa gap lake lishaanza onekana na litazidi!

Kama uhuru wa kuongea unarahisisha life mbona bundle zimepanda, mafuta yamepanda, umeme na maji shida! Magufuli hayupo sasa maana hizi lawama mnatamanigi mumpe yeye ila alieko mitamboni ni hangaya!😅
HATA HUYO MWENDAZAKE LILIKUWA SUALA LA MUDA TU. PUMZI INGEKATA MUDA WOWOTE,NDIYO MAANA DENI LILIFUTUKA KIPINDI CHAKE HAIJAPATA KUTOKEA. NA KESI ZA KUBAMBIKA NA KUPORA MAMILIONI ETI "KUKIRI" ULIKUWA UJAMBAZI WA DOLA AMBAO UNGEKAMUA WENYE "VIJISENTI" HADI DAMU.
 
Salama humu,

Wale chawa wa awamu ya 6 wanajitahidi sana kufifisha yote mazuri yaliofanyika na kiongozi wa awamu ya 5!

Alikuwa na madhaifu yake kama binadamu ila swala la kukomalia social services ziwe available and accessible kwa umma ndio kitu ambacho wengi wenye akili tutamkumbuka nacho.

Kwa hali ilivyo sasa ni dhahiri kabisa kuna walakini katika mfumo wa kiuongozi kutokana na yale ambayo tunayashuhudia. Pesa hamna, vitu vinapanda bei juu, huduma za kijamii zinasua sua.

Haya yalitokea Libya pia miaka kadhaa nyuma ambako walikuwa wanakula asali na maziwa hadi kuvimbiwa na kuona kuwa sasa wanahitaji mtu tofauti wasijue kuwa walikuwa na lulu.

Jamaa alikuwa na madhaifu yake ila alikuwa na concern sana na jamii. Huyu ndio aina ya kiongozi anaeweza kutupeleka katika nchi ya asali na maziwa ila tumeamua kudharau na kukejeli sana yote ambayo mazuri yamefanyika kwa ajili ya umma. Wacha tuinjoy malimao sasa baada ya kutukana maepo.

Baba anayejali familia ndio baba bora, awe jambazi, mlevi, malaya hayo sio tija muhimu asimame na majukumu yake na kuhakikisha familia haikosi huduma zote stahiki. Baba mbabaishaji hata akiwa Paroko wa kanisa ni bure tu!
Libya walitajirika kwa sababu walijaliwa kuwa na mafuta. Hawakutajirika kwa sababu ya Gaddafi. Nchi nyingi za kiarabu zilitajirika kipindi hicho. Libya bado wana utajiri wa mafuta lakini siku hizi mafuta hayana thamani kama zamani halafu nchi nyingi zinachimba mafuta. Marekani sasa hivi inaongoza kuchimba mafuta duniani, Urusi namba 2.

Na dunia ya leo kutawala kidikteta au kiubabe ni ngumu sana hasa kwenye nchi masikini. Utawekewa vikwazo na utatengwa kitu ambacho nchi inayotegemea wawekezaji, inayotegemea misaada, inayotegemea mikopo kujiendesha haiwezi kumudu.
 
Hapo mwishoni umemalizia kwa mahaba hadi Raha.
Namkumbuka Sana magufuli. Nmezimiss zile ziara zake. Watu walivyowashtaki viongozi wazembe kwake.

Nimeimiss sauti ile ya mamlaka.
Eh jamaa ameacha alama mioyoni mwetu tuliokuwa tunamfurahia na aina ya uongozi wake.
“Wewe ni rafiki yangu sana ila kwa hili hapana”
 
Raisi Magufuli was a Traitor and a Ruthless Assassin....
Only a fool would dispute this, and I don't think you are foolish.
Calling him "a ruthless assassin" - can you back this claim with reliable evidences?

Can you mentioned any person that had been assassinated by Magufuli and deliver us, with convincing evidences, from these fallacious theories?
 
Salama humu,

Wale chawa wa awamu ya 6 wanajitahidi sana kufifisha yote mazuri yaliofanyika na kiongozi wa awamu ya 5!

Alikuwa na madhaifu yake kama binadamu ila swala la kukomalia social services ziwe available and accessible kwa umma ndio kitu ambacho wengi wenye akili tutamkumbuka nacho.

Kwa hali ilivyo sasa ni dhahiri kabisa kuna walakini katika mfumo wa kiuongozi kutokana na yale ambayo tunayashuhudia. Pesa hamna, vitu vinapanda bei juu, huduma za kijamii zinasua sua.

Haya yalitokea Libya pia miaka kadhaa nyuma ambako walikuwa wanakula asali na maziwa hadi kuvimbiwa na kuona kuwa sasa wanahitaji mtu tofauti wasijue kuwa walikuwa na lulu.

Jamaa alikuwa na madhaifu yake ila alikuwa na concern sana na jamii. Huyu ndio aina ya kiongozi anaeweza kutupeleka katika nchi ya asali na maziwa ila tumeamua kudharau na kukejeli sana yote ambayo mazuri yamefanyika kwa ajili ya umma. Wacha tuinjoy malimao sasa baada ya kutukana maepo.

Baba anayejali familia ndio baba bora, awe jambazi, mlevi, malaya hayo sio tija muhimu asimame na majukumu yake na kuhakikisha familia haikosi huduma zote stahiki. Baba mbabaishaji hata akiwa Paroko wa kanisa ni bure tu!
Vitu viwili tofauti.
 
Alikuta sukari 1800 je Wakati anaondoka kaacha sh ngap kwa kilo?

Vipi kuhusu Cement kaikuta sh ngap na kaiachaje?

Mafuta ya kula je?

Kiufupi ndani ya utawala wa CCM wote ni walewale wanatofautiana muda tu
Mkuu duniani kote hakuna biashara inayosimama bei Ile Ile kwa miaka 5 bila kupanda.

Magufuli bado atabaki kuwa Raisi bora kuwahi kutokea Tanzania.
Hili limeshaanza kuonekana,,hata kabla ya mwaka , pamoja na kupakwa matope na wanaotumika kisiasa,,lakini bado ameshikilia nafasi ya juu kabisa kwenye mioyo ya watanzania wazalendo na wenye mapenzi mema kwa taifa letu.

Wale wote wanaomgeuka Magufuli Leo.
Kesho 2025 watatumia yale yale mema aliyoyafanya Magufuli kama mtaji wa kutafutia kura kutoka kwa wanainchi.

Sababu hakuna jipya litakalo fanyika kwa sasa zaidi ya serikali kuzidi kufanya maisha kuwa magumu..
Tuwache siasa za chuki na ushabiki haswa kwenye Mambo yenye kugusa maslahi ya taifa letu.

RIP Magufuli...Rip tinga tinga.
 
Salama humu,

Wale chawa wa awamu ya 6 wanajitahidi sana kufifisha yote mazuri yaliofanyika na kiongozi wa awamu ya 5!

Alikuwa na madhaifu yake kama binadamu ila swala la kukomalia social services ziwe available and accessible kwa umma ndio kitu ambacho wengi wenye akili tutamkumbuka nacho.

Kwa hali ilivyo sasa ni dhahiri kabisa kuna walakini katika mfumo wa kiuongozi kutokana na yale ambayo tunayashuhudia. Pesa hamna, vitu vinapanda bei juu, huduma za kijamii zinasua sua.

Haya yalitokea Libya pia miaka kadhaa nyuma ambako walikuwa wanakula asali na maziwa hadi kuvimbiwa na kuona kuwa sasa wanahitaji mtu tofauti wasijue kuwa walikuwa na lulu.

Jamaa alikuwa na madhaifu yake ila alikuwa na concern sana na jamii. Huyu ndio aina ya kiongozi anaeweza kutupeleka katika nchi ya asali na maziwa ila tumeamua kudharau na kukejeli sana yote ambayo mazuri yamefanyika kwa ajili ya umma. Wacha tuinjoy malimao sasa baada ya kutukana maepo.

Baba anayejali familia ndio baba bora, awe jambazi, mlevi, malaya hayo sio tija muhimu asimame na majukumu yake na kuhakikisha familia haikosi huduma zote stahiki. Baba mbabaishaji hata akiwa Paroko wa kanisa ni bure tu!
Umeongea vizuri sana na Libya ni mfano mzuri ulioutaja. Mimi naongeza Iraq katika mifano hai. Watu wachache walipigishwa kelele na nchi za Magharibi kwamba viongozi wa nchi hizo ni wabaya. Sasa imekuwa miaka mingi tangu viongozi hao wauawe na hakuna dalili za kuonyesha ingawa kukaribia maendeleo yaliyokuwa yamefikiwa na viongozi hao 'dhalimu'. Binadamu sijui tukoje. Mifano tumeishuhudia wenyewe enzi za uhai wetu na bado tunafanya makosa yale yale.
 
Haya si mawazo ya mtu mwenye akili.
 
Akili hiyohiyo ndiyo iliyotumika kumsifu na kutesa waliomkosoa.

Gang mwacheni Mama arekebishe nchi,Kimsingi kwa yeyote mwenye akili anachokifanya Mama sasa hivi ndiyo kinachotakiwa kufanyika kasoro kwa Mbowe,ila wenye upeo mpana na wanaoona mbali kisiasa wanajua kwanini anafanya hivyo kwa Mbowe wewe kwa upeo wako huwezi kuelewa.
Kipi cha maana alichofanya tangu aingie madarakani zaidi ya kusafiri kwenda nje?!
 
Umeongea vizuri sana na Libya ni mfano mzuri ulioutaja. Mimi naongeza Iraq katika mifano hai. Watu wachache walipigishwa kelele na nchi za Magharibi kwamba viongozi wa nchi hizo ni wabaya. Sasa imekuwa miaka mingi tangu viongozi hao wauawe na hakuna dalili za kuonyesha ingawa kukaribia maendeleo yaliyokuwa yamefikiwa na viongozi hao 'dhalimu'. Binadamu sijui tukoje. Mifano tumeishuhudia wenyewe enzi za uhai wetu na bado tunafanya makosa yale yale.
Yeah japo kuna raia wanajidai hawaelewi. Tanzania ni nchi nzuri ila ina wasimamizi wabovu kupindukia. Kupata maendeleo itakuwa ngumu mno bila kuwa na mtu strong kama hayati.

Watumishi wamezoea kudekezwa na mtu kama hangaya ndie wanaemhusudu sio yule ambaye ni mkali katika kusimamia kazi. Wanamuona shetani tu na muonevu sababu wanapenda kufanya kazi kimazoea na kuendekeza dili na rushwa! Waibe watakavyo ila wasiguswe.
 
Mungu ataendelea kutoa majibu mnaomfananisha Mussa na Shetani. Mungu wa kweli yupo jana,leo na hata milele, Kiongozi shetani hatamki Mungu hata kwa sekunde kamezeshwa kiapo cha ufreemason ambacho ni cha uzuzu.
 
Ukweli mtupu demokrasia kuna mahala inatuchelewesha sana
Uganda hapo Hamna demokrasia, Vp kuhusu maendeleo yake. Vp kongo enzi za dikteta mobutu, Tunatafuta visingizio tu ila umasikini na ngozi nyeusi ni kama samaki na maji. Hata ukienda nchi kama Haiti iko karibu na Nchi zilizoendelea ila umasikini wake ni afadhali hata na nchi zetu hizi
 
Hahahah sindio, demokrasia ya kulindana kwenye ufisadi actually ndio wabongo wanaitaka. Wachache wenye madaraka waneemeke na familia zao halafu wengi tuteseke kwa Tag ya uzalendo.
 
Itachukuwa muda kupata mtu kama hayati.
Mtu aliekuwa akiijua nchi vizuri na changamoto zake kwa asilimia kubwa.
Mtu aliekuwa tayari kutembea kilamahali kusikiliza matatizo ya watu na kuyatatua mengine papo hapo.
Hakuwa mnafiki, alikuwa mkweli na asiependa ujingaujinga kwenye uwajibikaji.

Ukiona mbaka anamuambia wazirimkuu jiangalie nafasiyako sioyakudumu itategemea unavyo fanya kazi "hadharani" sio kitu cha mzaha hata kidogo.

Aliijua kila wizara angalao kwa kiwango cha kuridhisha.
Mtu jasiri ambae hakutaka kukumbatia urafiki linapokuja swala la ubadhilifu ama uzembe kazini.

Jamaa alikuwa shujaa na mwenye malengo ya kuipeleka nchi mbele kimaendeleo.

WENGI WANA KIRI KIMOYOMOYO.
 
Baadhi ya mambo makubwa marehemu kwayo atakumbukwa ni pamoja na kuua soko la ajira kwa kuharibu mazingira ya uwekezaji na kujenga mfumo mpya unaowawezesha vijana kumaliza masomo yao ya vyuo vikuu, diploma na vyeti ili waende kuwa machinga, wakashindane na ambao hawakumaliza darasa moja namna ya kugeuza barabara kuwa maduka.
 
Ukisoma tu comment hizi kwa makini sana Utagundua Watz wengi hawajui wanachokitaka. Hata wanaomkumbuka JPM sasa walishawahi kumpinga enzi zake. Ni kizungumkuti sana hatueleweki nyeupe au nyeusi, yaani ni Mungu atusaidie tu. Lakini yote kwa yote Hii sifa yetu hii ndio inafanya tuwe mazuzu wakutawaliwa kirahisi sana na Mpuuzi yeyote anayekuja. So Sad!
 
Back
Top Bottom