Akili inayotumika kumponda Hayati Dkt. Magufuli ndio ile ile iliyowagharimu wana Libya

Akili inayotumika kumponda Hayati Dkt. Magufuli ndio ile ile iliyowagharimu wana Libya

Katika Maraisi ambao walijichimbia makaburi from the get-go ni kipenzi chenu Magufuli. Msifieni mnavyotaka, mpambeni mnavyotaka, mkitaka mumfanyie na ibada kabisa. Lakini ukweli ni kwamba Raisi Magufuli was a Brutal Assassin of the working class, a fanatic, a divisive figure and a threat to national unity and security.

Pili, kutaka kufananisha kilichotokea nchini Libya na Tanzania nadhani bwana Extrovert ni kutofahamu kwa undani zaidi siasa za Maghreb na nchi za Kiislamu. Hivyo kabla ya kuanza kutoa majibu ya jumla nakushauri ufanye tafiti kwanza. Kuna sababu nyingi zilizopelekea kuanguka kwa Muhammar Qhaddafy ambazo hujazigusa kabisa. Lakini pia kuna sababu nyingi zilizopelekea utawala wa Magufuli kuzimika kama taa.

Mimi ni mtu muwazi sana na napenda kusema ukweli: Kuna mambo mazuri ambayo Raisi Magufuli aliyafanya na yameleta mbadiliko makubwa sana nchini. Lakini laiti ungefahamu kwa undani madhara na uharibifu alioufanya kwenye mifumo ya ndani ya hii nchi, usingemuangalia kama unavyotaka dunia imuangalie. Amefanya mambo ya ajabu, hovyo na aibu sana kama Raisi. Mambo ya kishenzi ambayo tulikuwa tunasikia yakifanyika kwenye nchi kama Rwanda, Burundi, Sierra-Leone na Somalia....

Mimi ni moja kati ya watanzania niliouunga mkono utawala wake mwanzoni kabisa, lakini laaah "HAPANA" kutoa roho za watu wasio na hatia bila huruma. Kuvuruga maisha ya maelfu ya watu kwa kisingizio kwamba unaonyoosha nchi na kujenga uchumi ni HOJA MUFULISI ambayo watu wachache ambao hawamwogopi MUNGU na SHULE ZAO ZINA WALAKINI ndiyo wataikubali.

Ila ukweli ni kwamba chuki kubwa kutoka kwa wananchi aliipanda mwenyewe kama Raisi.........
Shukrani kwa kuja kwenye uzi huu.
====
Maelezo uliyoyatoa yanahitaji back up ya ushahidi usiotiliwa shaka na unaomuhusisha moja kwa moja Rais Magufuli (R.I.P) na mambo yaliyokufanya uache kumuunga mkono.

Karibu.
 
Akili hiyohiyo ndiyo iliyotumika kumsifu na kutesa waliomkosoa.

Gang mwacheni Mama arekebishe nchi,Kimsingi kwa yeyote mwenye akili anachokifanya Mama sasa hivi ndiyo kinachotakiwa kufanyika kasoro kwa Mbowe,ila wenye upeo mpana na wanaoona mbali kisiasa wanajua kwanini anafanya hivyo kwa Mbowe wewe kwa upeo wako huwezi kuelewa.
Nani aliteswa mbona mnapenda sana kamsemo hicho
 
Shukrani kwa kuja kwenye uzi huu.
====
Maelezo uliyoyatoa yanahitaji back up ya ushahidi usiotiliwa shaka na unaomuhusisha moja kwa moja Rais Magufuli (R.I.P) na mambo yaliyokufanya uache kumuunga mkono.

Karibu.
Raisi Magufuli was a Traitor and a Ruthless Assassin....
Only a fool would dispute this, and I don't think you are foolish.
 
Katika Maraisi ambao walijichimbia makaburi from the get-go ni kipenzi chenu Magufuli. Msifieni mnavyotaka, mpambeni mnavyotaka, mkitaka mumfanyie na ibada kabisa. Lakini ukweli ni kwamba Raisi Magufuli was a Brutal Assassin of the working class, a fanatic, a divisive figure and a threat to national unity and security.

Pili, kutaka kufananisha kilichotokea nchini Libya na Tanzania nadhani bwana Extrovert ni kutofahamu kwa undani zaidi siasa za Maghreb na nchi za Kiislamu. Hivyo kabla ya kuanza kutoa majibu ya jumla nakushauri ufanye tafiti kwanza. Kuna sababu nyingi zilizopelekea kuanguka kwa Muhammar Qhaddafy ambazo hujazigusa kabisa. Lakini pia kuna sababu nyingi zilizopelekea utawala wa Magufuli kuzimika kama taa.

Mimi ni mtu muwazi sana na napenda kusema ukweli: Kuna mambo mazuri ambayo Raisi Magufuli aliyafanya na yameleta mbadiliko makubwa sana nchini. Lakini laiti ungefahamu kwa undani madhara na uharibifu alioufanya kwenye mifumo ya ndani ya hii nchi, usingemuangalia kama unavyotaka dunia imuangalie. Amefanya mambo ya ajabu, hovyo na aibu sana kama Raisi. Mambo ya kishenzi ambayo tulikuwa tunasikia yakifanyika kwenye nchi kama Rwanda, Burundi, Sierra-Leone na Somalia....

Mimi ni moja kati ya watanzania niliouunga mkono utawala wake mwanzoni kabisa, lakini laaah "HAPANA" kutoa roho za watu wasio na hatia bila huruma. Kuvuruga maisha ya maelfu ya watu kwa kisingizio kwamba unaonyoosha nchi na kujenga uchumi ni HOJA MUFULISI ambayo watu wachache ambao hawamwogopi MUNGU na SHULE ZAO ZINA WALAKINI ndiyo wataikubali.

Ila ukweli ni kwamba chuki kubwa kutoka kwa wananchi aliipanda mwenyewe kama Raisi.........
Nani alitolewa roho bila hurum awe ni lile kundi la wenye vyeti feki ndo kila siku mna laani
 
Soma hapa chini
_ _ _
By Tatenda Gwaambuka.

April 9th, 2016

Add to my list

Libya under Gaddafi was not entirely hellish as the world has been made to believe. The citizens did not have the luxury of voting but Gaddafi made sure they had a high standard of living to compensate for curtailed freedoms. Was this enough? That is a moot point but the fact remains: Libya was a great place to stay under Gaddafi (provided one did not try to usurp power).

Education and medical treatment were free​

Under Gaddafi, education and health care were free for all. A response to this claim by Masareef Edareeya, a Libyan citizen claimed the quality of education and health was appalling but that does nothing to the fact that it was free. No system is perfect but most are imperfect and still expensive. Gaddafi made sure his system was subsidised and even Mercy Corps attested to the fact in its Beyond Gaddafi: Libya’s Governance Context. That is more than the so-called “democratic leaders” can say for their countries.

=====

Mwandishi wa habari hiyo hapo juu ndugu Tatenda, aliandika habari hii mwaka 2016, wakati Comrade Gaddafi (R.I.P) tayari ameishaondoshwa madarakani na kuuawa. Wakati huo huo Libya ikiwa kwenye msongo wa purukushani za vurugu na mapigano. Kwa hiyo itakuwa ajabu wakati tayari, Comrade Gaddafi ameishaondoshwa na kuuawa bado awe na ujasiri wa kuwaamuru watu waandike habari unazosema eti zimetungwa na watu wake.

Litafakari hili mkuu.
natumai kabla ya kuiweka hapa hii link umeisoma, niambie nje na elimu na huduma ya afya bure ni wapi tena muandishi kaelezea swala la Dola 100 kila anaetaka kuoa?
kwa sensa ya mwaka Jana walibya wapo 6.9 milion kwa MUKTADHA huo utajiri wa libya elimu na afya bure sio håbari kusisimua.
Elimu bure hata sisiem wanaitoa ila ndiyo hiyo
inazalisha utitiri wa vilaza mtaani.
 
Nani alitolewa roho bila hurum awe ni lile kundi la wenye vyeti feki ndo kila siku mna laani
Tatizo letu kubwa sisi watanzania ni kwamba hatuna kabisa HOFU YA MUNGU siku hizi na wala hatupendi kusema UKWELI. Lakini kubwa zaidi ni kwamba uelewa wetu uko chini BELOW- AVARAGE, ndiyo maana kuna baadhi ya mambo unaweza ukahisi unatetea kwa uzalendo kumbe unafanya hivyo kwasababu uelewa wako ni mdogo.

Hao unaowatukana kwamba wana vyeti feki ni watanzania kama wewe, ambao wamekaa kwenye utumishi wa umma kwa zaidi ya miaka thelathini. Wamelitumikia hili taifa, wamelipa na kodi, isitoshe wengine wemekufundisha wewe huko shuleni hadi ukapata hiyo elimu ambayo unakuja nayo hapa kuwakashifu.

Jeshi la polisi na wananchi sehemu nyeti kabisa lina maofisa wengi tu ambao binafsi nawafahamu kwamba wana vyeti feki. Lakini wanadunda mpaka leo hii, kwasababu Raisi Magufuli alifahamu fika nini madhara ya kuwatimua hawa. Lakini akaenda kwa wadhaifu, kama walimu na makarani ambao wengine walikuwa wanakaribia kabisa kustaafu. Akawafukuza bila huruma na kutowapa chochote kile.

Aina hii ya uzalendo waliifanya wakina Interahamwe wa Rwanda na Wanazi wa Ujerumani, kulaumu kundi fulani kwa matatizo ya nchi. Mtu yoyote mwenye akili timamu lazima aguswe na hiki kitu: A wise man once said, evaluate your battles carefully, for sometimes peace is more important than being right........
 
Kwahio sheria ikigusa familia ya RPC itumike busara sababu ni sehemu ya wana usalama wa nchi ila ikiwa familia ya kapuku mtaa wa sita ifuate mkondo wake sio?

Hatuwezi fika kwa akili kama hizi na ndio zimepelekea kumea kwa mbegu ya unafiki sana hapa nchini halafu tunajifanya kushangaa kwamba tumekosea wapi kama taifa. Walafi wanalindana sababu hii!

Aliumiza ila wengine walistahili kuumizwa ili maendeleo yapatikane. Huwezi kufurahisha kila mtu wewe sio ice cream!
Hata ice cream inawakera wanyea gongo
 
Hivi wazungumzia kanisa gani hilo?
Kutokana na hili, umakini na hasa hoja zako vinatia shaka.
Hio ni namna ya kukufanya uelewe kwa wepesi don’t feel offended!

Kiongozi lazma atambue wajibu wake ni kuwatumikia wananchi waliompa nafasi ya madaraka. Ikifikia mahala kiongozi anaweza kuropoka anavyojiskia bila kujali welfare ya waliompa madaraka na kujikita katika kujineemesha yeye binafsi inakuwa ni uhuni uliotokuka.

Matokeo yake tunakuwa na jamii inayolalamika kila kukicha kuwa haitendewi haki. Wanachangisha matozo ila bado ada za watoto lazima mlipe mwakani! Kodi katika kila kitu hazitoshi maana huduma ni mbovu kichizi!
 
mkuu umevamia siasa, umenifanya niifute vumbi miwani nikirejea kusoma ID yako, nakushauri unywe maji mengi kisha upande kitandani upumzike.

hitimisho lako limeonesha ulivyomweupe kisiasa, yaani mtu aue, atese watu, adhulumu watu, madam anakupa huduma basi kwako ni bora?
 
Back
Top Bottom