Akili inayotumika kumponda Hayati Dkt. Magufuli ndio ile ile iliyowagharimu wana Libya

Katika Maraisi ambao walijichimbia makaburi from the get-go ni kipenzi chenu Magufuli. Msifieni mnavyotaka, mpambeni mnavyotaka, mkitaka mumfanyie na ibada kabisa. Lakini ukweli ni kwamba Raisi Magufuli was a Brutal Assassin of the working class, a fanatic, a divisive figure and a threat to national unity and security.

Pili, kutaka kufananisha kilichotokea nchini Libya na Tanzania nadhani bwana Extrovert ni kutofahamu kwa undani zaidi siasa za Maghreb na nchi za Kiislamu. Hivyo kabla ya kuanza kutoa majibu ya jumla nakushauri ufanye tafiti kwanza. Kuna sababu nyingi zilizopelekea kuanguka kwa Muhammar Qhaddafy ambazo hujazigusa kabisa. Lakini pia kuna sababu nyingi zilizopelekea utawala wa Magufuli kuzimika kama taa.

Mimi ni mtu muwazi sana na napenda kusema ukweli: Kuna mambo mazuri ambayo Raisi Magufuli aliyafanya na yameleta mbadiliko makubwa sana nchini. Lakini laiti ungefahamu kwa undani madhara na uharibifu alioufanya kwenye mifumo ya ndani ya hii nchi, usingemuangalia kama unavyotaka dunia imuangalie. Amefanya mambo ya ajabu, hovyo na aibu sana kama Raisi. Mambo ya kishenzi ambayo tulikuwa tunasikia yakifanyika kwenye nchi kama Rwanda, Burundi, Sierra-Leone na Somalia....

Mimi ni moja kati ya watanzania niliouunga mkono utawala wake mwanzoni kabisa, lakini laaah "HAPANA" kutoa roho za watu wasio na hatia bila huruma. Kuvuruga maisha ya maelfu ya watu kwa kisingizio kwamba unaonyoosha nchi na kujenga uchumi ni HOJA MUFULISI ambayo watu wachache ambao hawamwogopi MUNGU na SHULE ZAO ZINA WALAKINI ndiyo wataikubali.

Ila ukweli ni kwamba chuki kubwa kutoka kwa wananchi aliipanda mwenyewe kama Raisi.........
 
we learned the lesson....but let the man rest in peace
 
Chawa wa yule aliyeko motoni mnahangaika sana

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
umasikini wangu utoondoka siku blacks wote tukirejeshewa akili zetu zile za kujenga mapramidi, sio Lissu kutawala ama Jiwe kuua watu ili ajenge flyover za pesa za mikopo.
Kwani sasa hivi huna akili?

Mbona Mbowe na Sugu na Lema ni matajiri?

Kwani hawakushirikishi wanapataje utajiri pamoja na kuwapigania kote?
 
Kwahio sheria ikigusa familia ya RPC itumike busara sababu ni sehemu ya wana usalama wa nchi ila ikiwa familia ya kapuku mtaa wa sita ifuate mkondo wake sio?

Hatuwezi fika kwa akili kama hizi na ndio zimepelekea kumea kwa mbegu ya unafiki sana hapa nchini halafu tunajifanya kushangaa kwamba tumekosea wapi kama taifa. Walafi wanalindana sababu hii!

Aliumiza ila wengine walistahili kuumizwa ili maendeleo yapatikane. Huwezi kufurahisha kila mtu wewe sio ice cream!
 
Hangaya ni copy and paste ya Msoga.


Hofu yangu yasijetokea machafuko nchini KWA mara ya kwanza Tangu Uhuru maana Maisha magumu na waTZ hawataki hata kumuona kabisaaaa iwe mtaani hata kwenye TV.
 
KAMA WENYE AKILI NI AINA YAKO BASI HAKUNA WENYE AKILI! WENGINE TUNAWAONA NI VICHAA TU KAMA YEYE MWENYEWE ALIVYOKUWA ANAJIITA.
Sasa unaniponda kwa kitu ambacho kiko dhahiri mzee, jamaa gap lake lishaanza onekana na litazidi!

Kama uhuru wa kuongea unarahisisha life mbona bundle zimepanda, mafuta yamepanda, umeme na maji shida! Magufuli hayupo sasa maana hizi lawama mnatamanigi mumpe yeye ila alieko mitamboni ni hangaya!😅
 

 
Ipo siku na wewe utaondoka kaa ukijua siku zako zinaisha hutasema tena Mungu fundi juu ya wenzako kila nafsi itaonja mauti uwe mwema au muovu
Sikuwahi kuomba kua Mkuu wa Malaika,sikuwahi kutamani Lissu afe/kushiriki kummwagia njugu,sikuwahi kumpoteza Ben Saa8 😄😄
 
Hangaya ni copy and paste ya Msoga.


Hofu yangu yasijetokea machafuko nchini KWA mara ya kwanza Tangu Uhuru maana Maisha magumu na waTZ hawataki hata kumuona kabisaaaa iwe mtaani hata kwenye TV.
Enzi za Jiwe watu wakisema Maisha magumu mlikua mnajibu kwa jeuri eti andamaneni,na Mimi nasema Maisha Ni mepesi Sana Kama mnbisha andamaneni tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…