Akili inayotumika kumponda Hayati Dkt. Magufuli ndio ile ile iliyowagharimu wana Libya

Comrade Extrovert leo umefunguka eheheee, but bado nalia na hawa viongozi wa kipewa madaraka kutokana na baba zao nao wanatuharibia nchi kwa kujitosa kupambana na nafsi isiyokuwepo.
Hao wa aina hio ndio wanatufelisha, mtu kwa kuwa baba yake aliporwa ugali basi naye atatumia mabavu kupora mali na kukomesha watu kama kisasi hii haikubaliki kwanza utawala huu sio wa kifalme kwamba familia zile zile ziendelee kupeana madaraka kwa hisani vizazi kwa vizazi!
 
Hao anaowaua wangekaa na kutulia na wake zao na kubalansi shobo nani angehangaika nao? Mbona wewe na mimi bado tupo licha ya uwepo wa Magufuli kwa miaka mitano?

Waliouwawa aidha walileta shobo dundo za aina yeyote zile! Hamna mtu anaua mtu bila sababu. Utashi wako utakuokoa na ujinga wako utakuua.
 
Waache wapige makelele ila Magufuli amedhihirishia ulimwengu kuwa alikuwa mwamba with good intentions for Tanzanians growth. He was a visionary leader pamoja na madhaifu yake vision yake ilikuwa dhahiri.
 
Kukopa sio ishu, mipango alioazimia kutekeleza aliitekeleza ama la? Tuanzie hapo kwanza
 
Hata angejenga anga nyingine juu ya eneo la Tanzania,kama alikua mtu mmoja tu,huyo hafai kusafishwa kwani tayari ameshakua Raisi mbaya kabisa katika historia ya nchini hii.
Huyo hakistahili kabisa kuwa rais.
Ni Rais wa hivyo kabisa kuwahi kuwepo Tanzania.
 
Sasa hivi tunapigwa, Rais anashirikiana na waziri wake wa nishati kutuhujumu, sioni sababu kwanini wanaleta habari ya LNG licha ya gharama zake ($30mil), wakati Nyerere Dam bado haijakamilika.
 
Hivi ni kweli saivi watu wanapiga.... !?Maneno haya yamejaa mtaani...

Eti watu sasa wanajibebe tu mihela.
 
Sa hv nchi ina uongozi wa hovyo zaidi , jiwe naye alikuwa wa hovyo , Ila angalau umeme , maji na barabara alijitahd, huyu hangaya na timu yake ya watu wa Pwani hawez lolote...!! Hata wanaomshangilia soon wataanza kuumana
JPM na mapungufu yake mengi , hawa ndugu zetu wamezidi wanatulaza gizani na kuturudisha kwenye visima kwa ajili ya ukilaza na uvivu wao. Nimejaribu kuwaelewa lakini nimeshindwa.
 
 
Ulaya ya sasa ilijengwa kwa udikteta. Pyramid za Misri zilijengwa na watumwa. Ukuta wa China ulijengwa kwa mijele

Ukweli mtupu demokrasia kuna mahala inatuchelewesha sana
 
Hapo mwishoni umemalizia kwa mahaba hadi Raha.
Namkumbuka Sana magufuli. Nmezimiss zile ziara zake. Watu walivyowashtaki viongozi wazembe kwake.

Nimeimiss sauti ile ya mamlaka.
 
Daa Magufuli atakumbukwa kweli , nimeshangaa likes ulizopata, hii inaonesha watu wanataka mtu mtendaji sio wa maneno na kulembua macho Kama yule msagaji wao na Macho yake Makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…