HATA HUYO MWENDAZAKE LILIKUWA SUALA LA MUDA TU. PUMZI INGEKATA MUDA WOWOTE,NDIYO MAANA DENI LILIFUTUKA KIPINDI CHAKE HAIJAPATA KUTOKEA. NA KESI ZA KUBAMBIKA NA KUPORA MAMILIONI ETI "KUKIRI" ULIKUWA UJAMBAZI WA DOLA AMBAO UNGEKAMUA WENYE "VIJISENTI" HADI DAMU.Sasa unaniponda kwa kitu ambacho kiko dhahiri mzee, jamaa gap lake lishaanza onekana na litazidi!
Kama uhuru wa kuongea unarahisisha life mbona bundle zimepanda, mafuta yamepanda, umeme na maji shida! Magufuli hayupo sasa maana hizi lawama mnatamanigi mumpe yeye ila alieko mitamboni ni hangaya!😅
Libya walitajirika kwa sababu walijaliwa kuwa na mafuta. Hawakutajirika kwa sababu ya Gaddafi. Nchi nyingi za kiarabu zilitajirika kipindi hicho. Libya bado wana utajiri wa mafuta lakini siku hizi mafuta hayana thamani kama zamani halafu nchi nyingi zinachimba mafuta. Marekani sasa hivi inaongoza kuchimba mafuta duniani, Urusi namba 2.Salama humu,
Wale chawa wa awamu ya 6 wanajitahidi sana kufifisha yote mazuri yaliofanyika na kiongozi wa awamu ya 5!
Alikuwa na madhaifu yake kama binadamu ila swala la kukomalia social services ziwe available and accessible kwa umma ndio kitu ambacho wengi wenye akili tutamkumbuka nacho.
Kwa hali ilivyo sasa ni dhahiri kabisa kuna walakini katika mfumo wa kiuongozi kutokana na yale ambayo tunayashuhudia. Pesa hamna, vitu vinapanda bei juu, huduma za kijamii zinasua sua.
Haya yalitokea Libya pia miaka kadhaa nyuma ambako walikuwa wanakula asali na maziwa hadi kuvimbiwa na kuona kuwa sasa wanahitaji mtu tofauti wasijue kuwa walikuwa na lulu.
Jamaa alikuwa na madhaifu yake ila alikuwa na concern sana na jamii. Huyu ndio aina ya kiongozi anaeweza kutupeleka katika nchi ya asali na maziwa ila tumeamua kudharau na kukejeli sana yote ambayo mazuri yamefanyika kwa ajili ya umma. Wacha tuinjoy malimao sasa baada ya kutukana maepo.
Baba anayejali familia ndio baba bora, awe jambazi, mlevi, malaya hayo sio tija muhimu asimame na majukumu yake na kuhakikisha familia haikosi huduma zote stahiki. Baba mbabaishaji hata akiwa Paroko wa kanisa ni bure tu!
Eh jamaa ameacha alama mioyoni mwetu tuliokuwa tunamfurahia na aina ya uongozi wake.Hapo mwishoni umemalizia kwa mahaba hadi Raha.
Namkumbuka Sana magufuli. Nmezimiss zile ziara zake. Watu walivyowashtaki viongozi wazembe kwake.
Nimeimiss sauti ile ya mamlaka.
Calling him "a ruthless assassin" - can you back this claim with reliable evidences?Raisi Magufuli was a Traitor and a Ruthless Assassin....
Only a fool would dispute this, and I don't think you are foolish.
Vitu viwili tofauti.Salama humu,
Wale chawa wa awamu ya 6 wanajitahidi sana kufifisha yote mazuri yaliofanyika na kiongozi wa awamu ya 5!
Alikuwa na madhaifu yake kama binadamu ila swala la kukomalia social services ziwe available and accessible kwa umma ndio kitu ambacho wengi wenye akili tutamkumbuka nacho.
Kwa hali ilivyo sasa ni dhahiri kabisa kuna walakini katika mfumo wa kiuongozi kutokana na yale ambayo tunayashuhudia. Pesa hamna, vitu vinapanda bei juu, huduma za kijamii zinasua sua.
Haya yalitokea Libya pia miaka kadhaa nyuma ambako walikuwa wanakula asali na maziwa hadi kuvimbiwa na kuona kuwa sasa wanahitaji mtu tofauti wasijue kuwa walikuwa na lulu.
Jamaa alikuwa na madhaifu yake ila alikuwa na concern sana na jamii. Huyu ndio aina ya kiongozi anaeweza kutupeleka katika nchi ya asali na maziwa ila tumeamua kudharau na kukejeli sana yote ambayo mazuri yamefanyika kwa ajili ya umma. Wacha tuinjoy malimao sasa baada ya kutukana maepo.
Baba anayejali familia ndio baba bora, awe jambazi, mlevi, malaya hayo sio tija muhimu asimame na majukumu yake na kuhakikisha familia haikosi huduma zote stahiki. Baba mbabaishaji hata akiwa Paroko wa kanisa ni bure tu!
Mkuu duniani kote hakuna biashara inayosimama bei Ile Ile kwa miaka 5 bila kupanda.Alikuta sukari 1800 je Wakati anaondoka kaacha sh ngap kwa kilo?
Vipi kuhusu Cement kaikuta sh ngap na kaiachaje?
Mafuta ya kula je?
Kiufupi ndani ya utawala wa CCM wote ni walewale wanatofautiana muda tu
Umeongea vizuri sana na Libya ni mfano mzuri ulioutaja. Mimi naongeza Iraq katika mifano hai. Watu wachache walipigishwa kelele na nchi za Magharibi kwamba viongozi wa nchi hizo ni wabaya. Sasa imekuwa miaka mingi tangu viongozi hao wauawe na hakuna dalili za kuonyesha ingawa kukaribia maendeleo yaliyokuwa yamefikiwa na viongozi hao 'dhalimu'. Binadamu sijui tukoje. Mifano tumeishuhudia wenyewe enzi za uhai wetu na bado tunafanya makosa yale yale.Salama humu,
Wale chawa wa awamu ya 6 wanajitahidi sana kufifisha yote mazuri yaliofanyika na kiongozi wa awamu ya 5!
Alikuwa na madhaifu yake kama binadamu ila swala la kukomalia social services ziwe available and accessible kwa umma ndio kitu ambacho wengi wenye akili tutamkumbuka nacho.
Kwa hali ilivyo sasa ni dhahiri kabisa kuna walakini katika mfumo wa kiuongozi kutokana na yale ambayo tunayashuhudia. Pesa hamna, vitu vinapanda bei juu, huduma za kijamii zinasua sua.
Haya yalitokea Libya pia miaka kadhaa nyuma ambako walikuwa wanakula asali na maziwa hadi kuvimbiwa na kuona kuwa sasa wanahitaji mtu tofauti wasijue kuwa walikuwa na lulu.
Jamaa alikuwa na madhaifu yake ila alikuwa na concern sana na jamii. Huyu ndio aina ya kiongozi anaeweza kutupeleka katika nchi ya asali na maziwa ila tumeamua kudharau na kukejeli sana yote ambayo mazuri yamefanyika kwa ajili ya umma. Wacha tuinjoy malimao sasa baada ya kutukana maepo.
Baba anayejali familia ndio baba bora, awe jambazi, mlevi, malaya hayo sio tija muhimu asimame na majukumu yake na kuhakikisha familia haikosi huduma zote stahiki. Baba mbabaishaji hata akiwa Paroko wa kanisa ni bure tu!
Haya si mawazo ya mtu mwenye akili.Baba anayejali familia ndio baba bora, awe jambazi, mlevi, malaya hayo sio tija muhimu asimame na majukumu yake na kuhakikisha familia haikosi huduma zote stahiki. Baba mbabaishaji hata akiwa Paroko wa kanisa ni bure tu!
Kipi cha maana alichofanya tangu aingie madarakani zaidi ya kusafiri kwenda nje?!Akili hiyohiyo ndiyo iliyotumika kumsifu na kutesa waliomkosoa.
Gang mwacheni Mama arekebishe nchi,Kimsingi kwa yeyote mwenye akili anachokifanya Mama sasa hivi ndiyo kinachotakiwa kufanyika kasoro kwa Mbowe,ila wenye upeo mpana na wanaoona mbali kisiasa wanajua kwanini anafanya hivyo kwa Mbowe wewe kwa upeo wako huwezi kuelewa.
Yeah japo kuna raia wanajidai hawaelewi. Tanzania ni nchi nzuri ila ina wasimamizi wabovu kupindukia. Kupata maendeleo itakuwa ngumu mno bila kuwa na mtu strong kama hayati.Umeongea vizuri sana na Libya ni mfano mzuri ulioutaja. Mimi naongeza Iraq katika mifano hai. Watu wachache walipigishwa kelele na nchi za Magharibi kwamba viongozi wa nchi hizo ni wabaya. Sasa imekuwa miaka mingi tangu viongozi hao wauawe na hakuna dalili za kuonyesha ingawa kukaribia maendeleo yaliyokuwa yamefikiwa na viongozi hao 'dhalimu'. Binadamu sijui tukoje. Mifano tumeishuhudia wenyewe enzi za uhai wetu na bado tunafanya makosa yale yale.
Uganda hapo Hamna demokrasia, Vp kuhusu maendeleo yake. Vp kongo enzi za dikteta mobutu, Tunatafuta visingizio tu ila umasikini na ngozi nyeusi ni kama samaki na maji. Hata ukienda nchi kama Haiti iko karibu na Nchi zilizoendelea ila umasikini wake ni afadhali hata na nchi zetu hiziUkweli mtupu demokrasia kuna mahala inatuchelewesha sana
Hahahah sindio, demokrasia ya kulindana kwenye ufisadi actually ndio wabongo wanaitaka. Wachache wenye madaraka waneemeke na familia zao halafu wengi tuteseke kwa Tag ya uzalendo.Uganda hapo Hamna demokrasia, Vp kuhusu maendeleo yake. Vp kongo enzi za dikteta mobutu, Tunatafuta visingizio tu ila umasikini na ngozi nyeusi ni kama samaki na maji. Hata ukienda nchi kama Haiti iko karibu na Nchi zilizoendelea ila umasikini wake ni afadhali hata na nchi zetu hizi
Waliowadanganya wameolewa ubelgiji
Your not serious.Tanzania haijawahi kupata Rais muharibifu kama Hayati Magufuli.
HUYU Jamaa ni wa hovyo sana kuwahi kutokea yanDo pm kama anaigiza vile