Akili kubwa kuhusu Diamond Platnumz Vs Ali Kiba

Akili kubwa kuhusu Diamond Platnumz Vs Ali Kiba

jojoe35

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2014
Posts
262
Reaction score
378
Habar wadau, hii APA ni akili kubwa kuusu nan ni bora zaid kati ya hawa maharamia wawili wa mzik wa bongo fleva.

Natoa facts tu (zikikuuma its for ur own risk)

1. Alikiba ni mkongwe kwenye game kuliko diamond (Diamond onyesha heshima kwa kaka mkubwa)
a)

2. Alikiba ana saut nzur ya kuimba kuliko Diamond ( apa ukabali ama ukatae iko ivo)

3. Diamond ni msanii Alikiba ni mwanamzik ( kumbuka mzik umo ndan ya sanaa)

4. Diamond tang aanze mzik 2008 amekua na muendelezo wa kupanda grade kila mwaka had sasa tuzo kubwa anayo miliki ni [HASHTAG]#worldwideact[/HASHTAG] [HASHTAG]#msaniiboraduniani[/HASHTAG] [HASHTAG]#MTVEMA[/HASHTAG]( Hongera zake)

5. Alikiba tang aanze mzik 2003 alikua na muendelezo wa kupanda grade ad akashirikishwa na R Kelly kweny project ya one8 akaona "imetosha" iyo ndo highest achievement aliyofika kabla ya Diamond kutoka( Tusidanganyane Jules watoto) (inaitwa kila mbuz na uref wa kamba yake)
 
Haya umeropokwa... ka pee ulale..
 
5. Kuibuka kwa Alikiba tena kumesababishwa na kejeli za Diamond dhidi yake( kama diamond angendelea kufany mzik kivyake bila kumbugudhi Alikiba ad sasa tusingemsikia alikiba angekua kama AY Abbyskills ect)
 
7. Kwasababu Alikiba anamzid Diamond saut, hivyo anatumia huo udhaifu wa diamond kuonyesha yy anamzid diamond, hivyo kila sehem diamond akitajwa lazima alikiba atajwe na kwa MTU ambae hamjui alikiba akimsikilza ataona anasaut zaid ya diamond hivyo kujizolea mashabik( kumbuka anayecreate attention kwa watu duniani ili wasikilize bongo fleva ni diamond then alikiba anapitia apo kujibrand)
 
8. Ukimuuliza alikiba kwann aliporud kwny game kafanikiwa kuliko awali ata kwambia kwasababu Nina shindanishwa na diamond ninae mzid saut, kwa maana nyingine kama angerud bila kushindanishwa asingekua na tofaut na Dullysakes na wakongwe wengine( hii mezea maji)
 
9. Diamond anajijua cyo mwanamzik Bali ni msanii ivo anatumia kila awezalo kujibrand (swaga, kucheza na kuburudisha kwa ujumla etc) Alikiba anajijua ni mwanamzik hivyo haoni umuhim wa kufanya hayo kivile ili kujibrand anaamin Juu ya saut take tu!
 
10.mwisho ukiwachukua hawa watu wawili ukawaomba wapatane, Diamond ata kubali ila Alikiba hatakubali kwasababu
@ Anachuk ya asili kwa Diamond tang zaman kwasababu diamond anamzid ile maswag, kujiweka kisanii na kujibrand kiujumla hivyo mbele ya diamond anajiona kama mshamba so ata usitegemee kollabo LA hawa wawili maana alikiba anaona atafunikwa kwenye kucheza na video

Pili Alikiba ni benefit mkubwa wa hili beef, hivyo cyo rahic kukubali liishe maana ndyo limemfikisha apo alipo

Conclusion; "NO DIAMOND NO INTERNATIONAL ALIKIBA"
 
Hivi haya maneno diamond hana sauti nzuri yameanza lini, mbona hamkuyaongea haya kabla ya kiba kurudi upya ktk gemu eti au ni moja ya mbinu ya kumshusha mondi na kumpandisha kiba ambayo tayari ishafeli, kwa hiyo miaka ya nyuma alikuwa anaimba kwa sauti gani tofauti na ya sasa, siku zote kama ukipendi kitu sema sikipendi sio unazunguka kama dawa ya mbu ya kuchoma, usichokipenda ww usikitie hila.
 
Hivi haya maneno diamond hana sauti nzuri yameanza lini, mbona hamkuyaongea haya kabla ya kiba kurudi upya ktk gemu eti au ni moja ya mbinu ya kumshusha mondi na kumpandisha kiba ambayo tayari ishafeli, kwa hiyo miaka ya nyuma alikuwa anaimba kwa sauti gani tofauti na ya sasa, siku zote kama ukipendi kitu sema sikipendi sio unazunguka kama dawa ya mbu ya kuchoma, usichokipenda ww usikitie hila.
Nmezungumza facts za ukwel cyo chuki, ata mtot ukimuliza atakwambia kiba anasaut zaid ya diamond, ingawaje saut ktk hili game ni kama kua na mwandiko mzuri darasan AF MTU mwingine anamwandiko mmbaya ila anapasua kuliko mweny mwandiko Mzur
 
Music kwenye uimbaji kuna sauti 4 ya 1 mpaka 4 kwahiyo sauti ya 1 inapendwa zaidi lakini haindoi szingine kwenye uimbaji. Sasa music sio sauti tu vinginevyo uimbe rnb koffi bass lakini ndio mkali wa rumba mwambie kiba achangamke vinginevyo mtachoma kumsifia
 
Hebu tuache unafiki, kila mtu ana sauti, hata diamond pia anasauti nzuri, na anajua pia kupangilia sauti, kuwa na sauti nzuri au mbaya ni kitu kimoja, kuweza kuitumia hiyo sauti ikutoe ni kitu kingine, diamond anafanya mziki kimataifa, na hata yeye pia anajiweka kisanii zaidi, alikiba, akubali akatae hamfikii daimondi kwa sasa, na kinachomponza alikiba kwa sasa kutaka kujikweza na kujiweka juu, badala ya kufanya kazi kwa bidii mashabiki ndiyo tumuwekee juu, daimond ana njaa na huu mziki, halidhiki, anafanya kitu kizuri ili sisi mashabiki ndio tumuweke juu, alikiba alikuwa zamani, ustaa wake ni Wa kipindi hicho siyo sasa, kwa sasa anaonekana sababu ya daimondi, ni Mtu Wa kutafuta huruma kwa mashabiki ili aonekane kama anaonewa sana, analalamika mno kama mjamzito kila wakati, akishindwa jambo lolote anaanza kumtafuta mchawi, kikubwa abadilike, kama anapewa sifa na demu wake na yeye analewa atafeli sana, na pia bado naamini daimondi anaweza kumfanya hata huyo kiba asisikike, kwa mfano kila alikiba akitoa nyimbo iwe ya kwake au kashirikishwa, basi daimondi na yeye ama atoe nyimbo yake, au ya msanii yoyote ndani ya wasafi, ukijivunia sauti hasa kwa msanii Wa kiume ni ujinga tu, kila MTU ana sauti nzuri, inategemea unaimba sauti ya ngapi. Alikiba akitaka kuwa juu amkubali daimondi, na amtafute akae naye atajifunza mengi na atafika mbali kimziki, mbona wasanii Wa nje na hasa Wa Nigeria wanamkubali daimond ? Japo ni competitor wao, ila wanamkubali, na wanafanya naye kazi, na wanamsifia popote pale? Sasa huyo kibakuli ye anajua kwenye kila nyimbo akitamka Nyoooooo, basi ndo anajua watu watamkubali ni ujinga mtupu,
 
Back
Top Bottom