Akili kubwa kuhusu Diamond Platnumz Vs Ali Kiba

Wabongo kwenye ubora wao! Kushughulika na yasiyowahusu.
 
9. Diamond anajijua cyo mwanamzik Bali ni msanii ivo anatumia kila awezalo kujibrand (swaga, kucheza na kuburudisha kwa ujumla etc) Alikiba anajijua ni mwanamzik hivyo haoni umuhim wa kufanya hayo kivile ili kujibrand anaamin Juu ya saut take tu!
Naomba tofauti kati ya mwanamuziki na msanii ili tuende sawa
 
5. Kuibuka kwa Alikiba tena kumesababishwa na kejeli za Diamond dhidi yake( kama diamond angendelea kufany mzik kivyake bila kumbugudhi Alikiba ad sasa tusingemsikia alikiba angekua kama AY Abbyskills ect)
Mh AY tena ? honestly yule sio wakufananishwa ha hawa walimbende , yule yupo lever zingine za maisha ya kimuziki na kimaisha
 
MIMI NIMEIONA HII TU,ZINGINE ZOOOOOOOOOOOOOOTE KELELE ZA CHURA HAZIMZUII TEMBO KUNYWA MAJI.
 
NA KOMENTI YAKO HII NDIO IMEBEBA UJUMBE MUHIMU SANA KIASI CHA KUZIKA HATA BAADHI YA CHUMVI ULIZOZITIA HUKO JUU.
 
9. Diamond anajijua cyo mwanamzik Bali ni msanii ivo anatumia kila awezalo kujibrand (swaga, kucheza na kuburudisha kwa ujumla etc) Alikiba anajijua ni mwanamzik hivyo haoni umuhim wa kufanya hayo kivile ili kujibrand anaamin Juu ya saut take tu!
Ni sawa na mwanamke mwenye sura nzuri na tako la haja, hataki kujipamba, kuoga wala kuvaa vizuri huku akiringia uzuri wake.
 
NA KAMA UNATUMIA HII KITU KAMA MIMI,BASI ANZA KUNYWA NAKUJA KUKULIPIA.
 
Kiba na rumba yake ajiunge twanga pepeta tu.
 

Umenena vema mkuu, ningekuwa nakunywa kinywaji ningekualika tunywe pamoja. ila kama wewe mnywaji endelea ntakuja kulipia.
Kimsingi watu wanachukulia kuwa kuwa na sauti flani nyembamba ndo kuwa mwimbaji mzuri. Diamond ni mwanamuziki na ni msanii. Alikiba ni mwanamuziki ila kufanya sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…