Akili kubwa kuhusu Diamond Platnumz Vs Ali Kiba

Wabongo kwenye ubora wao! Kushughulika na yasiyowahusu.
 
9. Diamond anajijua cyo mwanamzik Bali ni msanii ivo anatumia kila awezalo kujibrand (swaga, kucheza na kuburudisha kwa ujumla etc) Alikiba anajijua ni mwanamzik hivyo haoni umuhim wa kufanya hayo kivile ili kujibrand anaamin Juu ya saut take tu!
Naomba tofauti kati ya mwanamuziki na msanii ili tuende sawa
 
5. Kuibuka kwa Alikiba tena kumesababishwa na kejeli za Diamond dhidi yake( kama diamond angendelea kufany mzik kivyake bila kumbugudhi Alikiba ad sasa tusingemsikia alikiba angekua kama AY Abbyskills ect)
Mh AY tena ? honestly yule sio wakufananishwa ha hawa walimbende , yule yupo lever zingine za maisha ya kimuziki na kimaisha
 
10.mwisho ukiwachukua hawa watu wawili ukawaomba wapatane, Diamond ata kubali ila Alikiba hatakubali kwasababu
@ Anachuk ya asili kwa Diamond tang zaman kwasababu diamond anamzid ile maswag, kujiweka kisanii na kujibrand kiujumla hivyo mbele ya diamond anajiona kama mshamba so ata usitegemee kollabo LA hawa wawili maana alikiba anaona atafunikwa kwenye kucheza na video

Pili Alikiba ni benefit mkubwa wa hili beef, hivyo cyo rahic kukubali liishe maana ndyo limemfikisha apo alipo

Conclusion; "NO DIAMOND NO INTERNATIONAL ALIKIBA"
MIMI NIMEIONA HII TU,ZINGINE ZOOOOOOOOOOOOOOTE KELELE ZA CHURA HAZIMZUII TEMBO KUNYWA MAJI.
 
10.mwisho ukiwachukua hawa watu wawili ukawaomba wapatane, Diamond ata kubali ila Alikiba hatakubali kwasababu
@ Anachuk ya asili kwa Diamond tang zaman kwasababu diamond anamzid ile maswag, kujiweka kisanii na kujibrand kiujumla hivyo mbele ya diamond anajiona kama mshamba so ata usitegemee kollabo LA hawa wawili maana alikiba anaona atafunikwa kwenye kucheza na video

Pili Alikiba ni benefit mkubwa wa hili beef, hivyo cyo rahic kukubali liishe maana ndyo limemfikisha apo alipo

Conclusion; "NO DIAMOND NO INTERNATIONAL ALIKIBA"
NA KOMENTI YAKO HII NDIO IMEBEBA UJUMBE MUHIMU SANA KIASI CHA KUZIKA HATA BAADHI YA CHUMVI ULIZOZITIA HUKO JUU.
 
9. Diamond anajijua cyo mwanamzik Bali ni msanii ivo anatumia kila awezalo kujibrand (swaga, kucheza na kuburudisha kwa ujumla etc) Alikiba anajijua ni mwanamzik hivyo haoni umuhim wa kufanya hayo kivile ili kujibrand anaamin Juu ya saut take tu!
Ni sawa na mwanamke mwenye sura nzuri na tako la haja, hataki kujipamba, kuoga wala kuvaa vizuri huku akiringia uzuri wake.
 
10.mwisho ukiwachukua hawa watu wawili ukawaomba wapatane, Diamond ata kubali ila Alikiba hatakubali kwasababu
@ Anachuk ya asili kwa Diamond tang zaman kwasababu diamond anamzid ile maswag, kujiweka kisanii na kujibrand kiujumla hivyo mbele ya diamond anajiona kama mshamba so ata usitegemee kollabo LA hawa wawili maana alikiba anaona atafunikwa kwenye kucheza na video

Pili Alikiba ni benefit mkubwa wa hili beef, hivyo cyo rahic kukubali liishe maana ndyo limemfikisha apo alipo

Conclusion; "NO DIAMOND NO INTERNATIONAL ALIKIBA"
NA KAMA UNATUMIA HII KITU KAMA MIMI,BASI ANZA KUNYWA NAKUJA KUKULIPIA.
upload_2016-11-9_11-24-21.jpeg
 
Hivi haya maneno diamond hana sauti nzuri yameanza lini, mbona hamkuyaongea haya kabla ya kiba kurudi upya ktk gemu eti au ni moja ya mbinu ya kumshusha mondi na kumpandisha kiba ambayo tayari ishafeli, kwa hiyo miaka ya nyuma alikuwa anaimba kwa sauti gani tofauti na ya sasa, siku zote kama ukipendi kitu sema sikipendi sio unazunguka kama dawa ya mbu ya kuchoma, usichokipenda ww usikitie hila.

Umenena vema mkuu, ningekuwa nakunywa kinywaji ningekualika tunywe pamoja. ila kama wewe mnywaji endelea ntakuja kulipia.
Kimsingi watu wanachukulia kuwa kuwa na sauti flani nyembamba ndo kuwa mwimbaji mzuri. Diamond ni mwanamuziki na ni msanii. Alikiba ni mwanamuziki ila kufanya sanaa
 
Back
Top Bottom