Akili Kubwa - wakenya wanawiri ugenini

Akili Kubwa - wakenya wanawiri ugenini

Oya wanadanganyika njooni muone jinsi Kenya inaexport parachichi...mlikuwa mnasema tunayotoa huko kwenu Tanzania🐒 Naton Jr
 
Sijui mvuke border mje huu upande wetu, tuwafunze kama watoto jinsi ya kuishi abroad na kutuma hela nyumbani🤫

 
Back
Top Bottom