Akili ndogo inaongoza watu wenye akili kubwa

Akili ndogo inaongoza watu wenye akili kubwa

Ndio ujue hakuna akil kubwa. Maana isingewezekana waruhusu akili ndogo iwaongoze na hali wao wenye akil kubwa wapo
 
Kanda ya ziwa tu maji ni shida... apeleke maji Dodoma ? kanda ya ziwa ambapo ziwa lipo kuna sehemu maji ni shida...

Anachanganyikiwa sasa..
 
Hakuna akil kubwa bongo hii. Wajinga tu wamejazana kila kona. Mpaka JF hapa woote ni wajinga tu. Akili zipo kwenye keybaord tu ila sio kichwan
Majority ya wa Tz ni akili ndogo, minority ni akili kubwa , uta prove hii soon. Wewe kaa kwa kutulia , you will see it, how smart people going to.make revolution against low minded head of state..

The currently head of state she is totally fool
 
Sasa hapo ni mjanja ? Mjanja ni mwenye akili ndogo kumuongoza mwenye akili kubwa .... ni ujinga zaidi ya ufala kwa nyie wenye akili kukubali kuongozwa na asiye na uelewa .
 
Sasa hapo ni mjanja ? Mjanja ni mwenye akili ndogo kumuongoza mwenye akili kubwa .... ni ujinga zaidi ya ufala kwa nyie wenye akili kukubali kuongozwa na asiye na uelewa .
Just wait bro.. soon we are going to make revolution, and smart people they shall own the system
 
Inawezekana lakini iweje maji yanapotokea kuna shida ya maji unataka upeleke maji sehemu nyingine, huo si wehu?
Wakati wanayavuta kwenda Dodoma na mikoa hio wanapata. Ni kama ukisema unajenga barabara Mwanza hadi Dodoma itakapopita nao watapata huduma.
 
akili kubwa Kwa bongo Iko gerezani nchini japo nje zipo ila hazipo ccm
 
Back
Top Bottom