Akili ndogo inaongoza watu wenye akili kubwa

Akili ndogo inaongoza watu wenye akili kubwa

Wakati wanayavuta kwenda Dodoma na mikoa hio wanapata. Ni kama ukisema unajenga barabara Mwanza hadi Dodoma itakapopita nao watapata huduma.
Bomba la kwenda Dodoma linapita direction moja, itabidi wazungushe hayo mabomba direction tofauti... kama likipita Shinyanga , Singida then Dodoma.. kumbuka kuna Geita, Mara, Kagera.. na huko wananchi bado wana shida ya maji...
Wamalize kwanza tatizo kanda ya ziwa..
 
Throughout the history, in the graveyard of failures...
 
Bomba la kwenda Dodoma linapita direction moja, itabidi wazungushe hayo mabomba direction tofauti... kama likipita Shinyanga , Singida the Dodoma.. kumbuka kuna Geita, Mara, Kagera.. na huko wananchi bado wana shida ya maji...
Wamalize kwanza tatizo kanda ya ziwa..
Ushajua hadi bomba litakapopita?
 
Kumbe inawezekana sasa mtoa mada kwanini anamnanga anaehutubia ?
Nadhani sote tunawaelewa wanasiasa...
518359407_1305222234938011_2536516204468936540_n.jpg
 
Back
Top Bottom