Akili ndogo inaongoza watu wenye akili kubwa

Wakati wanayavuta kwenda Dodoma na mikoa hio wanapata. Ni kama ukisema unajenga barabara Mwanza hadi Dodoma itakapopita nao watapata huduma.
Bomba la kwenda Dodoma linapita direction moja, itabidi wazungushe hayo mabomba direction tofauti... kama likipita Shinyanga , Singida then Dodoma.. kumbuka kuna Geita, Mara, Kagera.. na huko wananchi bado wana shida ya maji...
Wamalize kwanza tatizo kanda ya ziwa..
 
Throughout the history, in the graveyard of failures...
 
Leo nimemuona Bashiru. Nikajua maji yamezidi unga
 
Ushajua hadi bomba litakapopita?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…