Akili ni nini?:Swali lililokwamisha mjadala wa Mshana na Kiranga.

Iyegu

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
6,276
Reaction score
12,404
Kuna thread ya Mshana Jr inayosema kuwa Kiranga sio atheist ni non-believer inaelekea page ya 50 ikiwa imekwama kwenye neno "akili...".
Kwa upande wangu naona mjadala ule hauna maana yoyote kwasababu kila mtu anakwepa kumjibu mwenzie swali moja tu.

Mshana:Kiranga una akili au hauna akili?
Kiranga:Akili ni nini?

Eeh bhana eh!mjadala umetumia karibu posts 700+ kwenye kipengele hiko bila mafanikio.Mshana hataki kutoa maana ya akili na kiranga hataki kusema kama anazo bila kuambiwa akili zipi.
Kwa ujumla naona wale jamaa wanajidhalilisha tu...
 
Mshana kauliza swali technical sana ambalo Kiranga akilijibu basi atakuwa kauingia mtego wa mshana mzima mzima na atagaragazwa haraka sana. Sasa Kwa vile kiranga anafahamu kuziba mianya hatari kama hii ya arguments hataki kuingia kwenye barabara ya mshana ya spiritual lane then kaamua kubaki anapopamudu zaidi kwenye philosophy and rhetoric defensive argument akijilinda zaidi.

That's why anatumia argument technique ya Socratic defensive questioning argumentative method. Swali kwa swali method... Kama ile ya Jesus. Wanafunzi wake walimuuliza mwalimu wewe ni nani? Hakuwajibu moja kwa moja..Bali na yeye akawauliza kwani nyie mnafikiri Mimi ni nani? Hapo sasa wakaanza kujikanyaga. Kwamba wewe ni Yohana mbatizaji, wengine wewe ni mfalme wa Wayahudi, wengine wewe utakuwa ndie Messiah!?

Wale Watakesha kule maana kiranga licha ya kuwa na asili ya ubishi pia ana maphilosoy theory kibao kajaza kichwani.

Hatari sana!
 
Hakuna mtego wowote wa kumkwamisha mtu hapo hata kama Mshana anaona katoa bonge la mtego, isipokuwa, neno akili lina dhana pana sana, ni wajibu wa muuliza swali kufafanua anamaanisha nini..
 
Ila kiranga ameshamjibu kwama Akili ni akili ila kiranga amegomea jibu
 
Mpaka raha kukusoma
 
hahaaa hatari sana
 
Hakuna mtego wowote wa kumkwamisha mtu hapo hata kama Mshana anaona katoa bonge la mtego, isipokuwa, neno akili lina dhana pana sana, ni wajibu wa muuliza swali kufafanua anamaanisha nini..
kabisa mkuu""
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…