Akili tu hauna ila mapenzi ni kitu oa sana


Tena ni vyema kuvunja mahusiano machanga kuliko uyasubiri yakomae.

Yakikomaa mpaka BAKWATA watapata taarifa ya kuachana kwenu.
 
Ishu ya mahusiano yanamhitaji sana Mungu kabla ya akili,kuna vitu nje ya ulimwengu wa mwili usipovijua,hata uwe na akili za GPA 5.0 utafeli. Akili ije baada ya Mungu,utafurahia maisha,mihemko na tamaa zimeponza wengi.
Nakazia
 
Changamoto hazikosekani hata ukiwa na mwenza sahihi vitabu vitakatifu vinasema hivyo ila zitakuwa tofauti na za hawa wanaokurupuka
 
Kama hivyo sawa
 
Changamoto hazikosekani hata ukiwa na mwenza sahihi vitabu vitakatifu vinasema hivyo ila zitakuwa tofauti na za hawa wanaokurupuka
Punguza kujishusha kwenye mahusiano machanga.
Mara nyingi yatakusababisha ujishushe hivyo hivyo kwenye maisha yenu yote.
 
Mahusiano n vita km vita nyingine tu ukikutana na mtu ambaye itikadi haziendan .

Mm Ninachowashauri vijana wasioe single mama ambaye bb wa mtt yupo hai..Kuna jamaa kajichanganya kuoa Dem niliyezaa naye bac n vile tu mm n mtu mwenye HURUMA Kwa mwanaume mwenzangu vingenevyo ningeshambebesha mimba mke wake tupatee mtt wa pilii ndan ya ndoa ya jamaa [emoji23][emoji23].

KATAA NDOAA
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ก
 
Who knows am single ๐Ÿ˜‚
Vunja vunja๐Ÿ˜…๐Ÿ’”๐Ÿšฎ๐Ÿƒ๐Ÿฟ
 
Ndio maana hapo tumeshindwa kuelewana. Ila hata kama haujaoa na umelelewa na wazazi wako lazima kuna wakati uliona dingi na bimkubwa wakitofautiana lakini kuna wakati utajua tu wameshayeweka sawa furaha inarudi
Una uhakika kila furaha inarudi kiwepesi?
Furaha nyingine hurudi na mapanga mkononi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ