Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
- Thread starter
- #21
Umesema vyema
Hapa nizungumzie hasa wanaume utakuta anaona red flags kwa mwanamke anashindwa kuvunja uhusiano
Tatizo wanetu wengine wanaingia kwenye mahusiano kwa sababu wako kummer oriented
Wabapuuzia ndioa wale wa kusema 'nitambadilisha'
Naonaga wengine nyuzi zao humu mapenzi yanawachapa kmmk sio poa
Tena ni vyema kuvunja mahusiano machanga kuliko uyasubiri yakomae.
Yakikomaa mpaka BAKWATA watapata taarifa ya kuachana kwenu.