Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 5,828
- 7,532
Sawa 🙌Haijalishi mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa 🙌Haijalishi mkuu
Nitakuwa WA mwisho kuamini na wewe Una akiliElewa hivyo
Ni akili tu hauna ila mapenzi wala hayaumizi,
Yenyewe wala hayanaga tabu.
Ni kitu flani hivi kama unakuwa na akili yako timamu wala hayawezi kukusumbua.
Habari zenu wana jamvi,
Kati ya vitu vinavyosumbua sana dunia kwa sasa ni mapenzi na pesa.
Pesa ni kweli kitu ngumu japokuwa kuna baadhi ya watu kama akina GODLOVE wa fb kwao ni kitu poa pia.
Nami pia wacha niwaeleze leo ukiona mapenzi yanakusumbua sumbua basi uje akili hauna.
Maada yangu ipo hapa (pia ni ushauri),
Kama una tumia akili kwenye kuchagua nani sahihi wa kuwa nae katika mapenzi wala hayawezi kuja kukutesa baadae wengi wenu hamtumii akili kwenye mapenzi.
Sanasana akina dada yaani kisa tu anakupa sana ela basi unaingia nae kwenye mapenzi. Au ni vile anatako kubwa basi hausikii wala hauoni lazima baadae utakuja kujutia tu.
Tambua kubwa kuna maisha baada ya hilo tako, kuna maisha baada ya kupendeza kwake, kuna maisha baada ya gari lake.
Wadada wengi wameingia kwenye mahusiano ya kikatili ni kufanyia ukatili wa aina mbalimbali kutokana na tamaa na mihemko ya kijinga.
Kabla ya kumpa mtu moyo wako angalia kwanza UNANAFASI GANI katika moyo wake pia.
WAKATI mwengine unapoona kama haumuelewi mwenza wako ni vyema ukaukatili moyo wako kwa kuvunja mahusiano machanga kuliko kuyaacha yakomae.
Vunja mahusiano kabla ya HAMJAKUJA KUJENGA na kuja kusumbuana mbeleni kwenye kudai asilimia.
Vunja mahusiano kabla HAMJAKUJA KUZAA na kuja kusumbua kizazi chenu.
Vunja mahusiano kabla HAMJAKUJA kutiana VISU nakuja kuuana.
Vunja mahusiano kabla HAMJAKUJA KUFUNGA NDOA isije wapa watu faida.
Mda mwengine utaona kama moyo bado unapenda ila VUNJA VUNJA VUNJAAAAAAAAAAA
kabla ya kuja kukutokea la kukutokea.
Ndio kwanza mnaanza uhusiano ile asubuhi tu mshaanza pigana haya mkikaa mwaka si mtakuja kabana kabisa nyie?
Ndio kwanza mnaanza uhusiano kashaanza ongea na wanaume/wanawake usiku haya mkija kuoana si atakuja lala kabisa nje kwa mabwana/mademu.
Mahusiano yenye matatizo hujionyesha asubuhi tu acha kujipa imani za uvumilivu za kipum
bavu.
Una miaka mingapi kwenye mahusiano??Elewa hivyo

🤣🤣🤣🤣Nitakuwa WA mwisho kuamini na wewe Una akili
Smart911 na Mahoundal waliishia wapi Mkuu...[emoji23][emoji23]Tangu yamtokee Smart911 hayanaga muongo tena.
Mahusiano yangu huwa NAYAVUNJAGA mapema sana.Una miaka mingapi kwenye mahusiano??
Ndio hvyo mkuu [emoji23][emoji23][emoji1787] ..[emoji1787][emoji1787][emoji24][emoji24][emoji35]
Oya nikwambie kitu.Ndio hvyo mkuu [emoji23][emoji23][emoji1787] ..
Nina HURUMA ningekuwa najiliaa tu SEMA ndio hvyo nimempa block Dem Kila mahali japo ananiandama hatari[emoji1787][emoji1787]
NakaziaaHAYANAGA FORMULA
Na uzuri hakuna anaefall kwa kupenda ila unajikuta tu usha dive huelewi[emoji3][emoji3][emoji3]
Hawakubari kushindwa😆Ndio hvyo mkuu [emoji23][emoji23][emoji1787] ..