Akili ya ajabu sana, ukimpenda mtu unamuona mzuri kuliko wote duniani

Maleven

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
689
Reaction score
3,373
Yani ukimuangalia humamlizi, kila kilichochake unakiona kizuri, unamuona ni mrembo kuliko wote, tatizo ni kua hizi hisia hazidumu kwa muda mrefu, i wish it could be that, life would be so wonderful.

1626695314672.png

Kweli kabisa kuna mmoja amenichanganya kabisa nimekaa nikafikilia amekuwa na Nini Cha ziada ambacho sikukiona mwanzo mbona nilikuwa na muona wakawaida sana mpaka tulipoanza uhusiano kidogo.
Ila saivi napambana nimtoe moyoni ili akili itulie lakini bado inakuwa ngumu sijui kwanini
 
Yani ukimuangalia humamlizi, kila kilichochake unakiona kizuri, unamuona ni mrembo kuliko wote, tatizo ni kua hizi hisia hazidumu kwa muda mrefu, i wish it could be that, life would be so wonderful.

Ni kweli ila unakua unaongozwa kichwa cha kati kisicho na macho wala pua (Kobobo) cha juu kinakua kina macho lakini hakioni mpaka upate ukimwi
 
Hata grace alipitia hali kama hiyo!!

Ila kumchukia mtu mkiachana mara nyingi naionaga kwa girls sisi huwa tunaumia sana ila chuki hapana tunajua kuna kupasha kiporo 😂😂😂. Kwahiyo mkuu hutaacha kumpenda uyo manzi hata mkiachana.
 
Back
Top Bottom