Akili ya ajabu sana, ukimpenda mtu unamuona mzuri kuliko wote duniani

Yani ukimuangalia humamlizi, kila kilichochake unakiona kizuri, unamuona ni mrembo kuliko wote, tatizo ni kua hizi hisia hazidumu kwa muda mrefu, i wish it could be that, life would be so wonderful.

Kweli kabisa kuna mmoja amenichanganya kabisa nimekaa nikafikilia amekuwa na Nini Cha ziada ambacho sikukiona mwanzo mbona nilikuwa na muona wakawaida sana mpaka tulipoanza uhusiano kidogo.
Ila saivi napambana nimtoe moyoni ili akili itulie lakini bado inakuwa ngumu sijui kwanini
 
Yani ukimuangalia humamlizi, kila kilichochake unakiona kizuri, unamuona ni mrembo kuliko wote, tatizo ni kua hizi hisia hazidumu kwa muda mrefu, i wish it could be that, life would be so wonderful.

Ni kweli ila unakua unaongozwa kichwa cha kati kisicho na macho wala pua (Kobobo) cha juu kinakua kina macho lakini hakioni mpaka upate ukimwi
 
Hata grace alipitia hali kama hiyo!!

Ila kumchukia mtu mkiachana mara nyingi naionaga kwa girls sisi huwa tunaumia sana ila chuki hapana tunajua kuna kupasha kiporo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Kwahiyo mkuu hutaacha kumpenda uyo manzi hata mkiachana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…