Akili ya binadamu

Mkuu hapa ni issue ya kujiongeza tu it is better ukatafuta ambayo haikuletei madhara
Kwa haraka nazani ni mifupa ile inayoweza kutafunika mfano ya samaki wadogowadogo ndio mifuoa rahisi kulika. Si inasaidia pia mkuu?
 
Samahani mkuu hii dopamine inaweza kuhusiana na mtu kuwa addicted na matendo ya kujiendekeza ambayo kimsingi yanaweza kumpelekea athark fulani kwa siku za mbele? e.g😛unyeto, Wizi nk
 
Samahani mkuu hii dopamine inaweza kuhusiana na mtu kuwa addicted na matendo ya kujiendekeza ambayo kimsingi yanaweza kumpelekea athark fulani kwa siku za mbele? e.g😛unyeto, Wizi nk
Kujiendekeza ni kama vile mtoto anapokuwa mdogo hutumia kilio ili kuvuta attention ya mama au watu waliopo karibu ili asaidiwe kama kajikojolea au ananjaa au anataka kubebwa, akikua na asipokanywa ndio inakuwa kujiendekeza,

Punyeto sio kujiendekeza ni subcounscious imagination

Wizi ni survival action sometimes inasababishwa na defect kwenye ubongo hasa hasa eneo linalohusika na huruma, mfano kuna utafiti ulikuwa ukifanywa magaidi wakifa miili yao inaperekwa kwenye uchunguzi wakawa wanabaini kuwa magaidi wengi wana uvimbe au defect kwenye eneo linalohusika na emotions au huruma,

Kujiendekeza ~oxytocin
Nyeto~ dopamine
Wizi/ugaidi ~ defect kwenye ubongo
 
Unachanganya human psychology +philosophy +sociology and naturalism which is which? Nakuomba uwe una base katika sehemu moja always
 
Unachanganya human psychology +philosophy +sociology and naturalism which is which? Nakuomba uwe una base katika sehemu moja always
humans ni complex sana kumuelewa sometimes inabidi utumie source nyingi bila kubase sehemu moja. ushaur mzuri pia ntaufanyia kazi
 
Unachanganya human psychology +philosophy +sociology and naturalism which is which? Nakuomba uwe una base katika sehemu moja always
Mbona nimeeleza kuwa hii maada inagusa masomo mengi ukiunganisha knowledge ndio unaelewa mada husika, mfano mtu anayesoma mambo ya pesa na usimamizi wa fedha pale IFM anasoma masomo mengi then baadae akiyaunganisha kinakuwa kitu kimoja, hivyo hivyo kwenye mada hii inabidi uwe na uelewa wa mambo yafuatayo
  • Human anatomy
  • Human physiology
  • Pharmacology
  • Neuroscience
  • Molecular biology
  • Radiology
  • Computer science
  • Human psychology
  • Logic
  • Quantum mechanics
  • Metaphysics
  • N.k
NDio maana yataka moyo ili uyaelewe
 
All those are branches of science has nothing to do with Human knowledge bro......
 
All those are branches of science has nothing to do with Human knowledge bro......
Human knowledge inakaa kwenye kiungo (organ) gani ktk mwili wa binadamu?

Kwa mtazamo wako knowledge ni nini? What is concept? What is idea? What is memory ? What is thought? What is reasoning? What is learning??

Usiponijibu haya maswali basi hiyo degree yako ya philosophy hujaielewa inahusu nini wala sitahangaika na wewe sababu huna kitu ambacho nitajifunza kutoka kwako
 
Kwa kuwa umeshasoma tungeomba ujibu hilo swali ni kwanini chupa za coca cola huekwa mezani katika hotuba na zinamshawishi vipi mtu?
 
Kama kukipakuwa unashindwa kukisoma utaweza kukimaliza kweli?
Sijaona mahali nimesema nimeshidwa usininukuu vibaya narudia kutokana na sababu zilizo nnje ya uwezo wangu.
Ni sawa nami niseme kama umeshidwa kukipakia hapa jukwaani umekisoma kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…