StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Kuna matukio nikiyaunganisha kuna picha naipata kwamba kuna watu 'underground' wapo serious mno na mustakabali mwema wa nchi yetu.
Tazama kwa mfano,
1.Kuchaguliwa kwa Lissu kuwa Mwenyekiti wa Taifa-CHADEMA.
2.Kukomaa na NO REFORMS NO ELECTION mwanzo mwisho!.
3. Kugoma maridhishano n.k
I guess kuna watu wameamua nchi ikombolewe kwa mara ya pili na wanatumia akili nyingi sana kwenye hii mission!.