StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Hata mimi kwa kweli. Wana akili KUBWA sana. Mwizi anafukuzwa kimya kimya!Basi nawatakia kila lenye kheri kwao!
Niliyoona Tu Tukio la January 21-25, 2025Kuna matukio nikiyaunganisha kuna picha naipata kwamba kuna watu 'underground' wapo serious mno na mustakabali mwema wa nchi yetu.
Tazama kwa mfano,
1.Kuchaguliwa kwa Lissu kuwa Mwenyekiti wa Taifa-CHADEMA.
2.Kukomaa na NO REFORMS NO ELECTION mwanzo mwisho!.
3. Kugoma maridhishano n.k
I guess kuna watu wameamua nchi ikombolewe kwa mara ya pili na wanatumia akili nyingi sana kwenye hii mission!.
Ile consistency ya No reform no reaction was a big dealKuna matukio nikiyaunganisha kuna picha naipata kwamba kuna watu 'underground' wapo serious mno na mustakabali mwema wa nchi yetu.
Tazama kwa mfano,
1.Kuchaguliwa kwa Lissu kuwa Mwenyekiti wa Taifa-CHADEMA.
2.Kukomaa na NO REFORMS NO ELECTION mwanzo mwisho!.
3. Kugoma maridhishano n.k
I guess kuna watu wameamua nchi ikombolewe kwa mara ya pili na wanatumia akili nyingi sana kwenye hii mission!.
Yeah!Ile consistency ya No reform no reaction was a big deal
Niliyoona Tu Tukio la January 21-25, 2025
Nilijua Mambo mazito yatafuata
Una jicho KaliNiliyoona Tu Tukio la January 21-25, 2025
Nilijua Mambo mazito yatafuata