Akili za Chifu Mangungo wa Msovero

Kwa hiyo kuweka vizuri tuko na mangungo wa 5 (mangungo v)?!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Labda atakuwa the fourth maana mwenzao mmoja alikuwa mkali sana linapokuja suala la mikataba ya ovyo ovyo
Mkuu, naye pia anaingia hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hapana, unamsingizia
Mkuu umesahau yale madai ya zaidi ya TZS 140Trn katika ripoti ya makinikia kutokana na ushauri wa kitaalamu aliopewa na tume ya akina Prof. Nehemiah Osoro wakati yupo katika mapambano makali ya vita vya kiuchumi!
 
Mkuu umesahau yale madai ya zaidi ya TZS 140Trn katika ripoti ya makinikia kutokana na ushauri wa kitaalamu aliopewa na tume ya akina Prof. Nehemiah Osoro wakati yupo katika mapambano makali ya vita vya kiuchumi!
Mzee alikuwa Mzalendo, ila baadhi ya Watanzania hawakuwahi kumwelewa na hawataki kumwelewa ukiwamo wewe
 
Mkuu naona unajua kutukana sana
 
Mkuu alianza vyema mwaka 2016 lakini ilipofika 2018 kuelekea 2021 akabadilika kabisa. Ni kweli kabisa kuna mazuri yake upande wa maendeleo ya vitu, lakini upande wake mwingine ulijaa udhalimu na ukatili mwingi, na wala hakutii katiba, sheria, kanuni na miongozo mbalimbali.
Mzee alikuwa Mzalendo, ila baadhi ya Watanzania hawakuwahi kumwelewa na hawataki kumwelewa ukiwamo wewe
Neno lake likageuka kuwa ndiyo amri ya mwisho, na yeyote yule aliyemuhisi au kumtilia mashaka ama kuthubutu kumuhoji au hata kujaribu kumshauri cha moto alikiona. Yeye akawa pekee mwenye kustahili kusifiwa na kuimbiwa nyimbo za sifa. Ndiyo kiini hasa cha mahasimu wake kumuona kuwa alikuwa mshamba na limbukeni wa madaraka, ijapokuwa walipigika na kudhoofu mno.
 
Hapa nakubaliana na wewe kwa asilimia karibia zote. Lazima tukiri wazi kwamba Mzee hakutaka kukosolewa hasa kwa yale aliyoyaamini. Huo ndo ulikuwa udhaifu wake mkubwa. Na hata ukifuatilia nchi kama Rwanda, Germany, Russia, China n.k, Kuna watu wengi sana waliumia ikiwemo kuuawa wakati wa mchakato wa maendeleo yao. Maendeleo siyo kitu cha lelemama. Ni mapambano ambayo unapambana na usiowajua wakati mwingine.
Ndo maana Hayati alikuwa akikutilia mashaka kama ulivyosema, cha moto ulikiona!
Otherwise kumweka kwenye kundi la kina mangungo, narudia tena humtendei haki kabisa!
Ahsante.
 
Nataka kuelewa, hapo haujanielimisha bado, aliuza Ardhi vipi ili watu wake wanufaike na nini?




Jukwaa la Siasa
 
kaburu sifa kuu ni ubaguzi hasa kwa misingi ya rangi. Kaburu kapora mali ya nani. Afika kusini ni kwao maana mababu zao walihamia kule miaka mingi sana nyuma kabla hata blacks hawajajua hata maana ya nchi.
Wacha upotoshaji na upuuzi. Wacha dharau na ujuaji unaoleta taharuki. Wacha Ugaidi. Stop your racist remarks.
 
Mangungo ni mfano wa kuigwa kuliko Hawa mapimbi wenye PhD ,yeye alivyojua kaingizwa cha kike alianzisha uprising
Hili hizi pimbi zimesoma na zinatuingiza cha kike zikijua kabisa na hakuna uprising yeyote baada ya hapo angalau mwendazake aliwaletea mtiti wale maboya wa accacia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…