Akili za darasani watoto wanarithi kwa mama

Akili za darasani watoto wanarithi kwa mama

Riskytaker

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2024
Posts
568
Reaction score
2,522
Kama mama yuko vizuri kwenye masomo kama hisabati /mathematics ,arts na science mtoto ana uwezekano mkubwa wa kuwa intelligent

Mazingira pia yanachangia but genes for intelligent zimebebwa kwenye x chromosomes

Ukifanya research mfano Muhas pale wale watoto mama zao pia wapo/walikuwa vizuri.

Oa cocksucker's na expert in twerking at your own risk and your offspring
 
Inawezekana hizo genes zikawa sahihi, lakini naamini baada ya mtoto kuzaliwa malezi ya baba yana mchango mkubwa sana kwenye makuzi ya akili ya mtoto.

Wakina mama mara nyingi huwa soft kwenye malezi, hii inaweza kuchangia kuharibu maendeleo ya kiakili ya mtoto hasa darasani hata kama mama mtu akiwa genius.

Lakini uwepo wa baba kwa kiasi kikubwa huchangia kurekebisha hiyo hali na kumkuza mtoto kwenye misingi sahihi, endapo baba mtu akiwa anajielewa.
 
Mazingira yana play sehemu kubwa ya MTU kuwa alivyo.

Watoto mapacha mmoja umlee katika mazingira ya uswahilini na mmoja alelewe Sehemu nzuri mwisho wake hawawezi kuwa the same. Mentally.

Malezi ni uwekezaji ambao unabebwa na mazingira zaidi .
 
Na kwa kuongezea tu ni kwamba wanawake wenye misambwanda na mipaja minene ndiyo wana nafasi kubwa zaidi ya kuzaa watoto wenye akili. Ngoja niishie hapa kwa sasa!

Screenshot_20240726_163249_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20240726_163307_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20240726_163335_Samsung Internet.jpg
Screenshot_20240726_163345_Samsung Internet.jpg


downloadfile-356.jpg
 
Subiri, mwanangu akiwa anajua mathematics na physics karithi kwangu, akiwa anajua BIOLOGY na chemistry atakuwa kamrithi mama yake..

Kuna mmoja wa ujanani, huyu naona ni mama yake, maana ni HKL mtupu 🤣😂
 
kama mama yuko vizuri kwenye masomo kama hisabati /mathematics ,arts na science mtoto anauwezekano mkubwa wa kua intelligent

mazingira pia yanachangia but genes for intelligent zmebebwa kwenye x chromosomes

ukifanya research mfano Muhas pale wale watoto mama zao pia wapo/walikua vizuri.

oa cocksucker's na expert in twerking at your own risk and your offsprings
Hii itakuwa inawezekana au inachangia kwa asilimia kadhaa katika akili ya mtoto ,,,VP kuhusu baba mtoto anatoka kapa hapati kitu ?🤔
 
wachina,wakorea wajapani vp apo
Of course kuna factors nyingi sana. Za kimazingira, kitamaduni, mifumo ya elimu, genetics n.k.

Tafiti huwa zinafanyika kwa kuangalia factors moja moja. Kwa vile hawa wameshafanya utafiti wao na wakahitimisha hivyo, na wewe sasa inabidi ujifunge vibwebwe ukawafanyie utafiti Wachina, Wajapan na Wakorea. Unaweza ukagundua kitu kingine kisichojulikana ukaishia kupata Nobel Prize. Na hivyo ndivyo maarifa husonga mbele.

Na usije ukashangaa ukakuta hata huko kwa Wakorea, Wajapan na Wachina wanawake wanaozaa vipanga sana ni wale ambao wana deposits za kutosha za mafuta mapajani na matakoni, ukiwalinganisha na general population ya huko - hata kama siyo wanene kama wa huku kwetu.

Kafanye utafiti mkuu! 😁🖐
 
kama mama yuko vizuri kwenye masomo kama hisabati /mathematics ,arts na science mtoto anauwezekano mkubwa wa kua intelligent

mazingira pia yanachangia but genes for intelligent zmebebwa kwenye x chromosomes

ukifanya research mfano Muhas pale wale watoto mama zao pia wapo/walikua vizuri.

oa cocksucker's na expert in twerking at your own risk and your offsprings
Tafiti yangu naiohoji katika nyanja ifuatayo.

Kuna watoto ambao wamelelewa na wazazi au wamama ambao hawajasma kabisa lakini wanafanya vizuri darasani..

Je watoto hawa akili wamerithi wapi ?
 
Tafiti yangu naiohoji katika nyanja ifuatayo.

Kuna watoto ambao wamelelewa na wazazi au wamama ambao hawajasma kabisa lakini wanafanya vizuri darasani..

Je watoto hawa akili wamerithi wapi ?
Wamerithi kwa mama zao. Kwa vile mama zao hawajasoma, ndiyo hawana akili? Kujidhihirisha kwa akili ni mpaka mtu asome? 😳😳😳
 
Back
Top Bottom