Akili za darasani watoto wanarithi kwa mama

Akili za darasani watoto wanarithi kwa mama

Uzushi mtupu mkuu.
Mbona mwanangu Joji mazake ana bonge ya msambwanda ila mwanangu alikuwa zuzu la darasa..
Utafiti hupingwa kwa utafiti mkuu. Waliofanya huo utafiti ni maprofesa kutoka katika vyuo vikuu vinavyoheshimika sana. Na wewe fanya utafiti wako uje na matokeo yako lakini huwezi kupinga utafiti uliohusisha wanawake laki tano kwa kutumia sample ya mwanao zuzu. Mwanao anaweza kuwa ni kighairi (an exception) na hivyo ni vya kawaida katika tafiti; na huwa vina maelezo yake 😁
 
Kwa hiyo mleta mada unataka kuuthibitishia umma wa Jamiiforums kwamba baba yako si lolote si chochote kwenye ufahamu wako kichwani pamoja na kuwa yeye ndiye aliyekuwa anajiongeza usome vipi ule nini uvae nini!!!

Otherwise uwe umetokana na malezi ya single mama that's why unamuona mama yako ana akili kuliko baba yako,siwezi na siamini kama nimerithi akili za mama yangu since ni mwanaume siwezi kumkana baba yangu kwenye ufahamu wangu huko kujifananisha na mama nitawachia wa kike wadil nako.
 
Uko sahihi kidogo but hukupaswa kusema kama mama yuko vizuri kwenye hesabu, physics n.k
Kuna wengine mama zetu hata primary hawaijui.
Kwahiyo ungesema kama IQ ya mama iko juu mtoto atarithi na kama iko chini atarithi.
Baba yangu ana wake 4 ila upande tu was mama yangu ndo tupo vizuri darasani ila wengine wote watatu watoto wapo chini kiakili mama yangu hakusoma ila inaonekana kwao ni vichwa
 
Achane kuwaandaa watoto wenu siku 1000 za mwanzo, mkikariri kuwa akili amesharithi kwa mama,

Walisheni watoto wenu miugali kabla hata hawajafikisha miezi sita mtegemee kuja kuwa vipanga darasani.
 
Kama mama yuko vizuri kwenye masomo kama hisabati /mathematics ,arts na science mtoto ana uwezekano mkubwa wa kuwa intelligent

Mazingira pia yanachangia but genes for intelligent zimebebwa kwenye x chromosomes

Ukifanya research mfano Muhas pale wale watoto mama zao pia wapo/walikuwa vizuri.

Oa cocksucker's na expert in twerking at your own risk and your offspring
Inakuwaje watoto wa mama mmoja ila baba tofauti wanatofautiana akili sasa kama ni hivyo si wote wangekuwa sasa? Nina ushahidi na hili!
 
Watoto wa shilole wamepasua one.........

This is magically
Siku hizi watoto wana faulu sana,sio kama enzi zetu katika darasa la watoto 80 form 4 mnafaulu 10.
Nimeangalia matokeo ya Mwaka huu kila shule ina division I za kutosha.
 
Hii mada hauna ukweli,kama akili za watu hutoka kwa Mama zao basi Duniani Wanawake ndio wangekuwa na akili kwa wingi kuliko Wanaume.Ila ukweli ni kuwa Duniani Wanaume asilimia kubwa wa akili kuliko Wanawake.
 
Back
Top Bottom