Riskytaker
JF-Expert Member
- Mar 14, 2024
- 568
- 2,522
hukun cha kumbukumbu au kukariri kwenye hisabati na sayans ukiw vizur ni upo vizuriUnazungumzia kumbukumbu au akili? Au kumbukumbu ndio akili? Au vyote kwa pamoja
wachina,wakorea wajapani vp apoNa kwa kuongezea tu ni kwamba wanawake wenye misambwanda na mipaja minene ndiyo wana nafasi kubwa zaidi ya kuzaa watoto wenye akili. Ngoja niishie hapa kwa sasa!
View attachment 3052856View attachment 3052857View attachment 3052858View attachment 3052859
View attachment 3052862
Hio research ifutweNa kwa kuongezea tu ni kwamba wanawake wenye misambwanda na mipaja minene ndiyo wana nafasi kubwa zaidi ya kuzaa watoto wenye akili. Ngoja niishie hapa kwa sasa!
View attachment 3052856View attachment 3052857View attachment 3052858View attachment 3052859
View attachment 3052862
Hii itakuwa inawezekana au inachangia kwa asilimia kadhaa katika akili ya mtoto ,,,VP kuhusu baba mtoto anatoka kapa hapati kitu ?π€kama mama yuko vizuri kwenye masomo kama hisabati /mathematics ,arts na science mtoto anauwezekano mkubwa wa kua intelligent
mazingira pia yanachangia but genes for intelligent zmebebwa kwenye x chromosomes
ukifanya research mfano Muhas pale wale watoto mama zao pia wapo/walikua vizuri.
oa cocksucker's na expert in twerking at your own risk and your offsprings
Of course kuna factors nyingi sana. Za kimazingira, kitamaduni, mifumo ya elimu, genetics n.k.wachina,wakorea wajapani vp apo
Tafiti yangu naiohoji katika nyanja ifuatayo.kama mama yuko vizuri kwenye masomo kama hisabati /mathematics ,arts na science mtoto anauwezekano mkubwa wa kua intelligent
mazingira pia yanachangia but genes for intelligent zmebebwa kwenye x chromosomes
ukifanya research mfano Muhas pale wale watoto mama zao pia wapo/walikua vizuri.
oa cocksucker's na expert in twerking at your own risk and your offsprings
Uzushi mtupu mkuu.Na kwa kuongezea tu ni kwamba wanawake wenye misambwanda na mipaja minene ndiyo wana nafasi kubwa zaidi ya kuzaa watoto wenye akili. Ngoja niishie hapa kwa sasa!
View attachment 3052856View attachment 3052857View attachment 3052858View attachment 3052859
View attachment 3052862
Wamerithi kwa mama zao. Kwa vile mama zao hawajasoma, ndiyo hawana akili? Kujidhihirisha kwa akili ni mpaka mtu asome? π³π³π³Tafiti yangu naiohoji katika nyanja ifuatayo.
Kuna watoto ambao wamelelewa na wazazi au wamama ambao hawajasma kabisa lakini wanafanya vizuri darasani..
Je watoto hawa akili wamerithi wapi ?