Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Utafiti hupingwa kwa utafiti mkuu. Waliofanya huo utafiti ni maprofesa kutoka katika vyuo vikuu vinavyoheshimika sana. Na wewe fanya utafiti wako uje na matokeo yako lakini huwezi kupinga utafiti uliohusisha wanawake laki tano kwa kutumia sample ya mwanao zuzu. Mwanao anaweza kuwa ni kighairi (an exception) na hivyo ni vya kawaida katika tafiti; na huwa vina maelezo yake 😁Uzushi mtupu mkuu.
Mbona mwanangu Joji mazake ana bonge ya msambwanda ila mwanangu alikuwa zuzu la darasa..
Baba yangu ana wake 4 ila upande tu was mama yangu ndo tupo vizuri darasani ila wengine wote watatu watoto wapo chini kiakili mama yangu hakusoma ila inaonekana kwao ni vichwaUko sahihi kidogo but hukupaswa kusema kama mama yuko vizuri kwenye hesabu, physics n.k
Kuna wengine mama zetu hata primary hawaijui.
Kwahiyo ungesema kama IQ ya mama iko juu mtoto atarithi na kama iko chini atarithi.
Hawa wa Tanzania wanaojipiga picha uchi kutangaza biashara ya ngono telegram utegemee wakuzalie watoto vichwa?Na kwa kuongezea tu ni kwamba wanawake wenye misambwanda na mipaja minene ndiyo wana nafasi kubwa zaidi ya kuzaa watoto wenye akili. Ngoja niishie hapa kwa sasa!
View attachment 3052856View attachment 3052857View attachment 3052858View attachment 3052859
View attachment 3052862
Inakuwaje watoto wa mama mmoja ila baba tofauti wanatofautiana akili sasa kama ni hivyo si wote wangekuwa sasa? Nina ushahidi na hili!Kama mama yuko vizuri kwenye masomo kama hisabati /mathematics ,arts na science mtoto ana uwezekano mkubwa wa kuwa intelligent
Mazingira pia yanachangia but genes for intelligent zimebebwa kwenye x chromosomes
Ukifanya research mfano Muhas pale wale watoto mama zao pia wapo/walikuwa vizuri.
Oa cocksucker's na expert in twerking at your own risk and your offspring
Siku hizi watoto wana faulu sana,sio kama enzi zetu katika darasa la watoto 80 form 4 mnafaulu 10.Watoto wa shilole wamepasua one.........
This is magically