Akili za kike

Akili za kike

Ila siku hizi mambo yamechange, ni kama kufanyiana timing hivi, unatongoza leo hujala mzigo kesho unaombwa hela ya kusuka.

Ukichomoa mapenzi yameisha, ukitoa kesho yake unaombwa ya kumtumia mama, mpaka unakuja kishtuka muda umeenda.

Nahisi haya mambo yawe yanaenda mkono kwa mkono.
Unatakiwa ukomae ukale mzigo....ndo mambo ya vibomu yaanze....Au uwe na maamuzi magumu,zikikupanda unaenda kwa wanaojiuza hawana lingolongo.
 
Back
Top Bottom