hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
hhaahaaaaWanawake akili zao bhana
Unamtongoza demu halafu ana kuuliza kama una demu mwingine
hivi uliona wapi mtu anaenda kununua nguo akiwa uchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hhaahaaaaWanawake akili zao bhana
Unamtongoza demu halafu ana kuuliza kama una demu mwingine
hivi uliona wapi mtu anaenda kununua nguo akiwa uchi
hatari sana" hizi jinsia 2 kwa uwongo ni balaaHahahahahaha na sie wanaume mbona huwa tunawauliza "vipi una boyfriend"
Majibu yao sasa "nilikuwa nae ila tumeachana" hapo ndio shida inapoanzia kila mtu muongo
duuuuh hahaaaKama umenitongoza halafu navutiwa na wewe hata kama Nina boyfriend ntasema Sinaaaa mambo mengine tutajua mbele ya safari bhana
Quid pro quo
Basi Mwenyezi Mungu akuepushie...Hahahaaa. Walaaaaaa
Amiin Insha Allah.Basi Mwenyezi Mungu akuepushie...
Vp ndugu kati ya hizi jinsia 2 haupo kwenye huu uongo au kupitia nn?hatari sana" hizi jinsia 2 kwa uwongo ni balaa
Mimi nipo kwenye gender moja wapo " lakini sio muongo " hahaaaaVp ndugu kati ya hizi jinsia 2 haupo kwenye huu uongo au kupitia nn?
Masihara yapPunguza masikhara
Unatakiwa ukomae ukale mzigo....ndo mambo ya vibomu yaanze....Au uwe na maamuzi magumu,zikikupanda unaenda kwa wanaojiuza hawana lingolongo.Ila siku hizi mambo yamechange, ni kama kufanyiana timing hivi, unatongoza leo hujala mzigo kesho unaombwa hela ya kusuka.
Ukichomoa mapenzi yameisha, ukitoa kesho yake unaombwa ya kumtumia mama, mpaka unakuja kishtuka muda umeenda.
Nahisi haya mambo yawe yanaenda mkono kwa mkono.
Topic ni hawa wa vibomu, mkono kwa mkono.Unatakiwa ukomae ukale mzigo....ndo mambo ya vibomu yaanze....Au uwe na maamuzi magumu,zikikupanda unaenda kwa wanaojiuza hawana lingolongo.
Akiomba chips mwambie twende kwanza tukagegedane.Topic ni hawa wa vibomu, mkono kwa mkono.
Ha ha haHahahahahaha na sie wanaume mbona huwa tunawauliza "vipi una boyfriend"
Majibu yao sasa "nilikuwa nae ila tumeachana" hapo ndio shida inapoanzia kila mtu muongo