Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akili za darasani ni ule uwezo wa kufaulu masomo katika mitihani na akili za maisha ni ule uwezo wa kutumia ufahamu wako kuweza kutatua changamoto za maisha. Si kila aliyefaulu darasani anaweza kufaulu katika maisha. Ndio maana unakutana na mtu hajasoma sana lakini ameweza kuwa na maisha mazuri!
kuwa na Maisha mazuri ndio Akili za Maisha?akili za darasani ni ule uwezo wa kufaulu masomo katika mitihani na akili za maisha ni ule uwezo wa kutumia ufahamu wako kuweza kutatua changamoto za maisha. Si kila aliyefaulu darasani anaweza kufaulu katika maisha. Ndio maana unakutana na mtu hajasoma sana lakini ameweza kuwa na maisha mazuri!
wellAKILI YA DARASANI.
Ni namna ambavyo mtu anakuwa na elimu kuhusiana na masuala aliyesomea akiwa darasani, mfano uhandisi, ualimu, udaktari, n.k
Nje ya hapo hatoweza kufanya au kujiongeza kwa chochote kitu akiwa amekosa hiyo elimu ya darasani.
AKILI YA MTAANI.
ni ule uwezo wa mtu kuwa na akili ya ziada katika kufanya jambo au kazi Fulani na kumletea manufaa mbeleni, mfano inaweza ikawa ni kipaji cha muziki, kipaji cha kucheza mpira, au kufanya kazi ndani ya jamii kama kuuza duka la spea n.k
hii inakuwa hujapitia shule kupata elimu ya juu.
hahahaaElimu ya Maisha ni pale kaka alipokutana na Taasisi ya kimataifa inayowezesha maswala kilimo hapa nchini, kwa ajili ya ucheshi na utundu akapata dhamana ya kuwa Entrepreneur Program Coordinator wakati alisomea Linguistics.. Ilibidi afanye kwa kujifunza na kupata uzoefu.
Mimi sizijuindo nataka nizijue kupitia kwenu
Well said mkuu.Akili ni akili tu,inategemea unaitumiaje kulingana na mazingira. Ukiwa shule ukitumia vizuri akili itakuletea hilo neno(akili ya darasani).Ukiwa mtaani ukitumia akili vizuri bas utakuwa na akili ya maisha
Hata hapa jf ukiandika upuuzi,utakuwa na akili za kipuuzi.