huyo jamaa uliomjibu bibi yako si umemtaja amekua msaada kukupa maarifa mbona mnatukanana sasa๐๐Bibi yako
Nilikusahau tu ila hata akili zako anapaswa kupewa meloDah sijatajwa!! Kwa hl povu muhmu mana umetukosea members we mtoa mada hao ni wapenz wako? umejiunga lin kwanza kudadadadek mods huyu apigwe bann mkimuacha naomba mnipige mimi siwez kubal mi sijatajwa
aah hamna mkuu nimebadili maamuzNilikusahau tu ila hata akili zako anapaswa kupewa melo
Unataka ban ya muda gani ndugu