Akili za members hawa apewe JF Founder Melo kama shukrani kwa kutuletea JF

Akili za members hawa apewe JF Founder Melo kama shukrani kwa kutuletea JF

Nafikiri huu sio uzi wa kwanza ila leo natoa shukurani zangu za dhati pia kwa alieanzisha JF na akatuletea mungu amuongezee akili zaidi kutoka kwa baadhi ya members humu.

Akili za baadhi ya members kama The Icebreaker , adriz de mbusi , chai ya rangi , Holoholo-Baba Kijacho na akili za church boys wote zichukuliwe apewe JF founder maxence melo kama shukurani kwa hiki kitu kizuri alichotuletea.

Muwe na jioni njema wapendwa katika bwana.
POVU RUKSA.

Cc Xi Jinping
Tafuta kazi jombi .

Kuniweka kundi moja na kijana wa hovyo kama Holoholo-Baba Kijacho ni kunikosea heshima
 
Tokea Jf ifungiwe huu ndio Uzi wa hovyo zaidi kuwahi kuwepo jukwaani
Zipo nyingi za hovyo mkuu, sema hujafuatilia tu.

Lengo la uzi wangu ni kumpa shukurani bwana maxence melo kutuletea JamiiForums.

Mungu amuweke kabisa.
 
Back
Top Bottom