Akili za mtu mweusi zinashangaza , unanunua jengo la Billion 1.6 baada ya hapo unasema hauna hela ya uchaguzi!.

Joined
Dec 11, 2024
Posts
94
Reaction score
240
Chama Chadema kuna watu waliokosa maono .

Tundu lissu , yupo sahihi kutokubali kukichangia hiki chama I agree with him.

Mimi nachojua life is about priority Maisha ni swala la vipaumbele zaidi .

Kulikuwa kuna haja gani ya kununua jengo la billion 1.6 wakati tunashindwa kugharamikia uchaguzi wa ndani ya chama ambao ni muhimu na upo kikatiba.

Mgeweza kununua hata Nyumba ya mil 500 ingetosha kabisa .

Lissu yupo sahihi kutokutoa hela yake maana hiyo ruzuku matumizi yake hayaeleweki.
 
Ila makao makuu ni jambo la permanent ila mikutano sio temporary mana sio kila muda utafanya mikutano, labla useme kwenye hilo jengo hakuna ukumbi wa mikutano hapo ndio nitashangaa.

Ila bajeti za mikutano hua zinanishangaza sana mana naona gharama sana labla kwakuwa sijawahi kuandaa mkutano.
 
Chama Chadema kuna watu waliokosa maono .

Tundu lissu , yupo sahihi kutokubali kukichangia hiki chama I agree with him.

Mimi nachojua life is about priority Maisha ni swala la vipaumbele zaidi .

Kulikuwa kuna haja gani ya kununua jengo la billion 1.6 wakati tunashindwa kugharamikia uchaguzi wa ndani ya chama ambao ni muhimu na upo kikatiba.

Mgeweza kununua hata Nyumba ya mil 500 ingetosha kabisa .

Lissu yupo sahihi kutokutoa hela yake maana hiyo ruzuku matumizi yake hayaeleweki.
We kweli kilaza.
 
Ndani ya CHADEMA ni chombo gani kimepewa mamlaka ya kusimamia masuala ya fedha za chama?
 
Lissu yupo sahihi kutokutoa hela yake maana hiyo ruzuku matumizi yake hayaeleweki.

Ni kwa ajili ametambua watanzania hawezi kubebeka hata ukiwa unawatetea kwa ajili yao.

Uchaguzi huu wa ndani ya CHADEMA na ule wa 2025 hautauleta mabadiliko yoyote kwa mtanzania zaidi ni kutumika kama ngazi ya kujijengea CV yeye Tundu Lissu.

Umma wa kiTanzania atekwe Abdul Nondo wa ngome ya vijana hakuna maandamano, Tundu Lissu ashambuliwe kwa risasi watu hawaamini, Freeman Mbowe afunguliwe kesi ya uhaini watanzania hawajitokezi mtaani, maisha magumu watu hawaandamani kupinga maisha ya kifahari ya watawala viongozi n.k

Tundu Lissu hapa ni kama anacheza na waandishi wa habari na watu wa mitandaoni kama sisi lakini walio wengi mitaani, vitongojini, vijijini hawana habari juzi wameporwa uchaguzi wa TAMISEMI 2024 November, leo wala hawana kumbukumbu na hilo.
 
Back
Top Bottom