Nawashukuru Sana
Member
- Dec 11, 2024
- 94
- 240
Sasa mbona unaleta makasiriko na vipaumbele vya wenzioMimi nachojua life is about priority Maisha ni swala la vipaumbele zaidi .
We kweli kilaza.Chama Chadema kuna watu waliokosa maono .
Tundu lissu , yupo sahihi kutokubali kukichangia hiki chama I agree with him.
Mimi nachojua life is about priority Maisha ni swala la vipaumbele zaidi .
Kulikuwa kuna haja gani ya kununua jengo la billion 1.6 wakati tunashindwa kugharamikia uchaguzi wa ndani ya chama ambao ni muhimu na upo kikatiba.
Mgeweza kununua hata Nyumba ya mil 500 ingetosha kabisa .
Lissu yupo sahihi kutokutoa hela yake maana hiyo ruzuku matumizi yake hayaeleweki.
Ndani ya CHADEMA ni chombo gani kimepewa mamlaka ya kusimamia masuala ya fedha za chama?Chama Chadema kuna watu waliokosa maono .